Ila,?Covid hawafi kwa kujifukiza.
Hakuna kinachowauwa covid kwasababu wenyewe siyo viumbe hai. Ni virus, siyo kama bacteria.Ila,?
SanaNi bora umaskini wa kipato.
Are you a doctor myfriend?!Atutolee ujinga sisi tunajifukiza
wewe ni bingwa wa spinKujifukiza, kujifusha au steaming ni simple technique ya ku ease mafua na ku boost immune stem. That's all. Na inatumika dunia nzima si Tanzania tu.
Sijawasikia wala kuwasoma pahala popote kuwa kujifukiza kunaua virus au kunatoa virus kwenye lungs.
Tusizushe uongo.
Sasa kwanini wagonjwa wa Surua walikuwa wanapona kwa kuvukizwa miaka ya 90, kwani yule anaye sababisha Surua sio VIRUS? Kwanini mgonjwa. Kuna kitu Bado mnatakiwa mjifunze zaidi mweelewe kiundani kuhusu mechanism ya kujivukiza na kunywa maji ya moto. Maana hata wazungu pia wanashauri wa wagonjwa wao watumie hivyo vitu.Kujifukiza, kujifusha au steaming ni simple technique ya ku ease mafua na ku boost immune stem. That's all. Na inatumika dunia nzima si Tanzania tu.
Sijawasikia wala kuwasoma pahala popote kuwa kujifukiza kunaua virus au kunatoa virus kwenye lungs.
Tusizushe uongo.
Sasa kwanini wagonjwa wa Surua walikuwa wanapona kwa kuvukizwa miaka ya 90, kwani yule anaye sababisha Surua sio VIRUS? Kwanini mgonjwa. Kuna kitu Bado mnatakiwa mjifunze zaidi mweelewe kiundani kuhusu mechanism ya kujivukiza na kunywa maji ya moto. Maana hata wazungu pia wanashauri wa wagonjwa wao watumie hivyo vitu.Covid hawafi kwa kujifukiza.
Sasa kwanini wagonjwa wa Surua walikuwa wanapona kwa kuvukizwa miaka ya 90, kwani yule anaye sababisha Surua sio VIRUS? Kwanini mgonjwa. Kuna kitu Bado mnatakiwa mjifunze zaidi mweelewe kiundani kuhusu mechanism ya kujivukiza na kunywa maji ya moto. Maana hata wazungu pia wanashauri wa wagonjwa wao watumie hivyo vitu.Hamjui kuwa kujifukiza ni tiba ya tangu asili na sikuwahi kusikia kuna mtu alikufa kwa kufanya hilo? Siongei kwa habari ya kuua virusi bali kitendo cha kujifukiza.
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Kujifukiza, kujifusha au steaming ni simple technique ya ku ease mafua na ku boost immune stem. That's all. Na inatumika dunia nzima si Tanzania tu.
Sijawasikia wala kuwasoma pahala popote kuwa kujifukiza kunaua virus au kunatoa virus kwenye lungs.
Tusizushe uongo.