Mkuu
Joto la mwili ni ishara njema kabisa, kuwa mwili unapambana na foreigners, joto la mwili ni reaction ya kuwa kuna vita inaendelea na mwili unasimamisha majeshi yake
Wakati joto liko juu, unapojifukiza au kunywa maji ya moto unaongezea external force ya mwili kupambana na adui
Kujifukiza kumekuwepo enzi na enzi na binafsi nimefukizwa nikiwa naumwa malaria, kichwa na mafua kijijini mbeya miaka ya 1987
Ni tiba inekuwepo for centuries all over africa, baadhi ya nchi za asia na america ya kusini
Sasa kama unagoma kujifukiza kwa sababu JPM alisema, well ni tatizo lako