Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

The virus is not a living organism, but a protein molecule (RNA) covered by a protective layer of lipids (fats) which, if absorbed by the cells of the ocular, nasal or mouth mucosa, changes their genetic code. (mutation) and converts them into multiplier and attacker cells.

Since the virus is not a living organism but a protein molecule, it is not killed, but decays on its own. The disintegration time depends on the temperature, humidity and the type of material in which it is found.

The virus is very fragile; the only thing that protects it is a thin outer layer of fat. That's why any soap or detergent is the best remedy, because the foam BREAKS THE GREASE (that's why you have to rub so much: for at least 20 seconds or more, and make a lot of foam). By dissolving the fat layer, the protein molecule disperses and breaks down on its own.

HEAT melts the fat; then use water above 25 degrees to wash your hands, clothes and everything else. In addition, hot water produces more foam which makes it even more useful.

Alcohol or any mixture with alcohol greater than 65% DISSOLVES ANY FAT, especially the external lipid layer of the virus.

But No common ALCOHOL or Vodka can destroy the virus because, The strongest alcohol or vodka is 40% alcohol and you need 65% alcohol (References, University of Zambia Virology department, Hopkins University and Peter Msimuko CBU Microbiologist.) Fungua
jmushi1,
Thanks, nami nilijua hiyo steaming unaitumia unapoona dalili, vinginevyo kwa hii approach yetu itabidi tuitumie hadi pale COVID-19 itakapokwisha.
 
Kama inauwa COVID -19 basi jifukizeni muuwe na HIV virus.
Madhara ya joto ni makubwa sana.
Kama mmeshindwa kununua vifaa vya kupimia watu Corona je mtaweza kupima madhara kwenye mapafu na maini.
Ukiambiwa kitu na mwanasiasa jua ukweli wake ni 10% tu,
Kitu utakacho mwamini mwanasiasa ni kukuomba kura.
Nothing change until your mind set change. You will not have what you dont believe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbele ya CCM chochote kinawezekana wewe angalia kuanzia akili za baba na wanae kina Bashite,S abaya na Chalamila and the like. Wew angalia Sasa hivi air Tanzania zimegeuzwa Cargo flight....yaani kwenye passanger's cabin wanajaza mizigo halafu wanajitapa mbele ya camera.
Ndege ya abiria inapofikia kubeba nyanya,vitunguu,malimao,pilipili,nyama ya mbuzi nk.ni aibu yetu sote kwa sababu ya watawala wasiofuàta taratibu.Kila kitu/mahali ni kucheza rough.
Hizo ndege siyo designed kwa ajili ya mizigo.COVID ikiisha nitakuwa scrappers.
 
Covid hawafi kwa kujifukiza.
Si lazima wafe hapo hapo lakini pia inaweza kuathiri utendaji wao ndani ya mwili na kuwadhoofisha kisha kinga ya mwili ya asili ikawamalizia!! Utafiti katika hili ufanyike. Pia wizara husika ifuatilie jirani zetu wa Rwanda na Uganda wanafanyaje? Majirani hao hawana hata kifo kimoja kinachotokana na corona virus.
 
Before you try Kujifukiza, know that the virus is stable at 56°C for 30 minutes. Now, can your throat and Lungs survive 56° C for 30+ Minutes?

• Human Body Temperature is 37°C
• Human skin (which is tough) takes 5 minutes to get burnt at 48° C View attachment 1436938
CCM wanataka wafanye Mass killing wakati wenzetu wanafanya Mass testing
 
Mbatia ameonyesha Mfano anafaa kuwa KUB baada ya Uchaguzi

Huyu KUB tulinaye amepwaya
Hahahahah Mr.Bean habari za asubuhi
Ndege ya abiria inapofikia kubeba nyanya,vitunguu,malimao,pilipili,nyama ya mbuzi nk.ni aibu yetu sote kwa sababu ya watawala wasiofuàta taratibu.Kila kitu/mahali ni kucheza rough.
Hizo ndege siyo designed kwa ajili ya mizigo.COVID ikiisha nitakuwa scrappers.
Hahahahahahhaaaa na Mbuzi kwenda Arabuni
 
Before you try Kujifukiza, know that the virus is stable at 56°C for 30 minutes. Now, can your throat and Lungs survive 56° C for 30+ Minutes?

• Human Body Temperature is 37°C
• Human skin (which is tough) takes 5 minutes to get burnt at 48° C View attachment 1436938

Virus sio kiumbe hai,.kwa hiyo hafi!!!!

Unachofanya ni kuspeed up half life yake, ili aweze ku decay au kubadili form

Kirus akiweza kubadili umbo lake automatically anakuwa either harmless au worst... Chances za kuwa worst ni ndogo maana yeye kubadili umbo ni hatua za kujilinda

Anaweza kukaa harmless muda mrefu immunity yako ita mu extract kwenye system

Kwa elimu yako jifunze kusoma basic kabla ya kudhani umeuliza swali gumu mno... K
 
Sasa kama HIV imetutesa miaka yote hio si aheri mngeanza kujifukiza ili kuwaangamiza kama virusi vya polio maana kujifusha si dawa!
 
Hahahaha. Panadol inashusha joto la mwili, kujifusha kunaongeza joto la mwili.

Kuongeza joto la mwili na kui boost immune system.
Unazeeka vibaya!Kujifusha sio tiba ya chochote!Ni sawa na mtu mwenye malaria kunya panadol kupunguza joto la mwili!Hakuna ushahidi wowote wa kujifusha kuwa kunaongena immunity ya mwili!Wataalamu wanakwambia kula vizuri kuongeza kinga ya mwili,hasa vitamin c!Sasa we komaa na kujifusha!
 
Nebulizer inafanyaje kazi kwa mtu mwenye matatizo ya kuhema/ kupumua? Mgonjwa aliyebanwa kifua hawezi kuhema akiwekewa ile dawa ya mvuke kifua kinaachia na anahema vizuri, kujifukiza sio mfumo ule ule sema hauko rasmi kitaalam?

Nafikiri tuanzie hapo kisha turudi kwenye kujifukiza na covid 19.
 
Before you try Kujifukiza, know that the virus is stable at 56°C for 30 minutes. Now, can your throat and Lungs survive 56° C for 30+ Minutes?

• Human Body Temperature is 37°C
• Human skin (which is tough) takes 5 minutes to get burnt at 48° C View attachment 1436938

Nimependa hoja yako, ila haikuakisi lengo la kujifukiza.

Awali ya yote napenda tukubaliane kuwa hata wagonjwa ambao wizara ya afya inayosema wamepona sio kuwa kule hospitali walipewa dawa iliyouwa virusi vya CORONA, Laghasha hakuna dawa inayouwa virusi vya CORONA. Hapo npenda ndugu Lemillion unisaidie kwa ueleo wako wewe hao wadudu walikwenda wapi na wgonjwa waliponaje? Kwa kukudokeza tu, ukitaka kujibu vizuri hili swali jiulize, hivi unapopona mafua wale virusi wanakwenda wapi? Au UKIMWI virusi wanakwenda wapi? au unapoambiwa tumia limau, tangawizi, machungwa na na na……….inasaidia nini katika Sakata hili la CORONA.

Dondoo jingine! Madaktari wote duniani wanatuambia kuwa hakuna dawa inayouwa virusi wakiwa ndani ya mwili wa binaadam.

Ukiyajibu haya maswali nitajitokeza tena kuendeleza mjadala kwa manufaa ya wanaJF wote.
 
Ni aibu kuwa Mtanzania kwa sasa
Yaani karne hii viongozi wakubwa wa serikali akiwemo mate wangu Jafo wanapiga picha wakiwa na misufuria imejaa mitishamba ambayo haina uthibitisho wowote wa kisayansi huku wengine wamejifunika mashuka. Alafu wanaposti kwenye mitandao, ni jambo la kufikirisha na huku mikoani kila mtu anachuma majani anayoamua mwenyewe.
 
Hakuna kinachowauwa covid kwasababu wenyewe siyo viumbe hai. Ni virus, siyo kama bacteria.

Inaweza kumsaidia mgonjwa wa covid-19 kwa kuondoa mucus na incubators wa hao covid wakiwa bado kwenye koo kabla hawajaenda kwenye mfumo wa hewa hadi kwenye mapafu. Wakifika huko kufukiza haisadii.

Usijeweka mawazo kuwa inatibu utafia humo ndani.

ikifika kwenye mapafu, kujifukiza ni hatari zaidi haisadii.
Kaka saidia wengi katika hili. Je, hawa watu ambao tunasikia wamepona Covid 19 walitumia dawa gani ambayo kwasasa wakipimwa wanakutwa ni Covid 19 negative?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom