Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

Danny Jully,
Soma hii utaweza kuelewa surua na CoVid ni airborne diseases both caused by virus. Hebu jitahidi kusoma articles za wenzako basi ili uweze kuelewa. Kuna articles kibao wenzetu wame publish.

Could the MMR vaccine help protect against coronavirus complications? Cambridge University scientists say the jab could help because the infections 'share similar proteins'
 
Kujifukiza, kujifusha au steaming ni simple technique ya ku ease mafua na ku boost immune stem. That's all. Na inatumika dunia nzima si Tanzania tu.

Sijawasikia wala kuwasoma pahala popote kuwa kujifukiza kunaua virus au kunatoa virus kwenye lungs.

Tusizushe uongo.
Hukusikia hotuba ya JPM wewe!
 
Sasa kwanini wagonjwa wa Surua walikuwa wanapona kwa kuvukizwa miaka ya 90, kwani yule anaye sababisha Surua sio VIRUS? Kwanini mgonjwa. Kuna kitu Bado mnatakiwa mjifunze zaidi mweelewe kiundani kuhusu mechanism ya kujivukiza na kunywa maji ya moto. Maana hata wazungu pia wanashauri wa wagonjwa wao watumie hivyo vitu.
Naona umekomaa na hilo swali,ngoja nikueleze!Unajua kuwa kuna watu wanapata virusi vya corona na wanapona bila kutumia dawa yoyote wala kujifukiza?

Sasa tukisema watu 10 wajifukize,wakapona 8 na wawili wakafa tutasema wamepona kwa kujifukiza kumbe immune system zao ni kubwa na wala si kwasababu ya kujifukiza!Hao waliopona Surua ni by chance,hata wasingejifukiza wangepona tu!
 
Malizia basi, ...kuliko umasikini wa...?

Kwani tuna utajiri wa kipato? Nijuavyo Tanzania tupo katika list ya nchi zenye kipato cha chini (masikini) duniani, bali nahisi tuna utajiri wa kusomea ujinga.

Ni bora umaskini wa kipato, kuliko ule wa akili.

Wengi wetu tunao huu wa kipato kama usemavyo, lakini wachache tusio na ule wa pili tunateseka sana na kujionea haya.

Huo unaosema ‘tuna’ utajiri wa kusomea ujinga, hiyo ‘tuna’ ni wewe na nani.?
 
Kujifukiza, kujifusha au steaming ni simple technique ya ku ease mafua na ku boost immune stem. That's all. Na inatumika dunia nzima si Tanzania tu.

Sijawasikia wala kuwasoma pahala popote kuwa kujifukiza kunaua virus au kunatoa virus kwenye lungs.

Tusizushe uongo.
Hukumsikia Magufuli akisema hilo ni futa linayeyuka likifukizwa kwa maji yanayochemka at 100 deg cent?
 
Hamjui kuwa kujifukiza ni tiba ya tangu asili na sikuwahi kusikia kuna mtu alikufa kwa kufanya hilo? Siongei kwa habari ya kuua virusi bali kitendo cha kujifukiza.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk

Hata zaman tulikuwa tunaweka mchanga kwenye kidonda kukata dam,

Jaribu leo uone balaa lake kama ukatwi mguu
 
Mbona maelezo yake yanaeleweka tu!Huko kujifusha ni sawa na anayekunywa panadol!
Hahahaha. Panadol inashusha joto la mwili, kujifusha kunaongeza joto la mwili.

Kuongeza joto la mwili na kui boost immune system.
 
Unapofanya steaming unaingiza mvuke kwenye Koo, nalo linajihami kwa kutengeneza mucus au makamazi badae unabanja unamtemeamo na korona, sio corona tu hata taka nyingine Kama vumbi

Labda niulize Kama varus sio kiumbe hai anazaliana vipi?
Unataka useme Virus Ni kiumbe Hai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom