Unapopata COVID 19 (ambapo hakuna dawa) katika harakati za kufanya yao mwili unapata madhara mengine kama homa, koo kukauka, kifua et al.
Maana yake nini mfano unapika kwa kutumia kuni ndani ya nyumba wakati zinapoungua moshi utajaa na chances kila mtu aliendani atakohoa, kwa ivyo ukifingua madirisha na mlango moshi ukitoka hali ya hewa inakuwa safi na kila mtu ataacha kukohoa; sasa aina maana moto wa kuni nao umezima.
Ndio COVID 19 inapofanya yake moshi wake ni homa, koo kukauka, mafua, mwili kuchoka etc. Kwa ivyo wewe ukila paracetamol, sijui ukichemsha malimau, kujifukiza (ni sawa na kufungua madirisha moshi wa kuni utoke hila ujazima moto).
Kitu pekee kinachoweza ishinda Corona ni immune system na wengine zao imara hasa vijana na wengine zao ni weak haswa wazee na wagonjwa; immune system ndio inayoamua aina ya madhara utakayopata COVID 19 akishaanza kufanya yake (mpaka kinga rasmi itakapo ingia mtaani).