Nikweli nilikuwa mnywaji(sio mlevi) miaka 3 nyuma, nimeacha na sijawahi kukereka kwa chochote afanyapo mtu ambacho mimi sifanyi na hakivunji sheria. Nakushauri jali mambo ufanyao, ishu za watu wengine ambazo huzipendi lakini ni hali na hazi gusi maisha yako achananazo kwa ajili ya ustawi wa moyo na ubongo wako.
Sasa hapa HASIRA zilikuwa za nini? Umemuita mtu Nyang'au, Umeonesha ubaguzi, chochote ambacho huyo black angefanya ungepinga - angebeba begi ungepinga-angembebea simu ungepinga, watu wako smart na kazi zao na wako HAPPY, wewe upo TZ unamaind. Hujui wametoka wapi? wanaenda wapi? Hao walinzi wanamauhusiano nao gani? Kikubwa kila mtu na maisha yake.Yaani mtu mweusi ndiye mbeba POMBE ya huyo Nyang'au?!!๐ฑ---- hii ni dharau kubwa sana, huyo mtu mweusi hajitambui na hajui ; The so called "whiteman superiority", damn shit!!.
Sasa hapa HASIRA zilikuwa za nini? Umemuita mtu Nyang'au, Umeonesha ubaguzi, chochote ambacho huyo black angefanya ungepinga - angebeba begi ungepinga-angembebea simu ungepinga, watu wako smart na kazi zao na wako HAPPY, wewe upo TZ unamaind. Hujui wametoka wapi? wanaenda wapi? Hao walinzi wanamauhusiano nao gani? Kikubwa kila mtu na maisha yake.
Utamlipia bill mzee wangu?Yaani mtu mweusi ndiye mbeba POMBE ya huyo Nyang'au?!!๐ฑ---- hii ni dharau kubwa sana, huyo mtu mweusi hajitambui na hajui ; The so called "whiteman superiority", damn shit!!.
Ndo hivyo Chifu.Kazi ni kazi muhimu mkono uende kinywani.Wabongo kwa ujuaji eti unaumia kabisa wakati jamaa ni professional personal bodyguard na amelipwa pesa nyingi kwa kazi hiyo.....
Aache kazi utamsaidia wew kulisha familia?
Kuna watu weusi wengi tu all over Europe na America wanahudumia ndugu zao Africa jus kwa kufanya kazi za ndani kwa watu weupe!
Hata asingefanya huyo mweusi angefanya mweupe....pesa inanguvu kuliko chochote kwenye hii dunia
Utamlipia bill mzee wangu?
Halafu huyo ni mfanyakazi wake regardless ya rangi yake acha ubaguzi as long as wao wamekubaliana na analipwa.
Wife kaniomba niache, nami nikaona sina chakupoteza na yeye hapendi nikaona isiwe issue, lakini bado kijiweni naenda na washkaji walewale kila mtu anatumia kinywaji akipendacho. Kikubwa komaa na maisha yako, tunaangalia maisha ya wengine na kuwahukumu kumbe sisi wenyewe ni wazinzi, wezi, tunawalipa ujira mdogo watumishi wetu majumbani na kazini, yaani tunabaguana na kudhulumiana wenyewe kwa wenyewe, lakini tunakomaa na kutoa maneno makali kwa wengine.Mimi sijazungumzia kubeba begi au simu au koti nk, nimehuzunishwa na mtu Mweusi kubeba POMBEEE!!-----
Nikuulize; Hivi kwanini wewe umeacha (pombe) ulevi??
Wife kaniomba niache, nami nikaona sina chakupoteza na yeye hapendi nikaona isiwe issue, lakini bado kijiweni naenda na washkaji walewale kila mtu anatumia kinywaji akipendacho. Kikubwa komaa na maisha yako, tunaangalia maisha ya wengine na kuwahukumu kumbe sisi wenyewe ni wazinzi, wezi, tunawalipa ujira mdogo watumishi wetu majumbani na kazini, yaani tunabaguana na kudhulumiana wenyewe kwa wenyewe, lakini tunakomaa na kutoa maneno makali kwa wengine.
Jamaa ana mbwembwe sana ila kiboko yake ni Khabib NurmagomedovNakumbuka tu kichapo alichopewaga ufc
Ova
Hahaha na kuna mmarekani mmj alimpiga HD mguu wke ukavunjika๐๐Jamaa ana mbwembwe sana ila kiboko yake ni Khabib Nurmagomedov
Ila daaaahhh hawa jamaa wanaingiza mkwanja mrefu aiseeee.Hahaha na kuna mmarekani mmj alimpiga HD mguu wke ukavunjika
Ova
Sana aiseIla daaaahhh hawa jamaa wanaingiza mkwanja mrefu aiseeee.
๐๐๐Wewe ni takataka ๐ฎ
Point yako kuu haikuwa pombe,uliingiza mambo za race ndio wadau wakakuona huna akili...Kwa hiyo hapo angebeba mtu mweupe wewe roho yako ndio ingetulia?...Mnakuaga offended na vitu vya hovyo sana. Those men are professionals kwenye hiyo kazi,wapuuzi nyie ndio mnatizama mambo ya skin colorBe specific, kinywaji aina ya POMBE!!, , Kwahiyo huyo ndugu mweusi ni mtaalamu (professional) wa kubeba glass za pombe??!
Point yako kuu haikuwa pombe,uliingiza mambo za race ndio wadau wakakuona huna akili...Kwa hiyo hapo angebeba mtu mweupe wewe roho yako ndio ingetulia?...Mnakuaga offended na vitu vya hovyo sana. Those men are professionals kwenye hiyo kazi,wapuuzi nyie ndio mnatizama mambo ya skin color
Shillings, Dollar, Eur,DinnarPesa ndo kila kitu mazee
Kubali tu ulijichanganya,umepewa za uso unarudi kujitetea kwa maneno marefuuu!! Tulia,umeshakalishwaMotherfucker, (Nimekutukana kwasababu wewe umenitukana).
Hakuna mtu mweupe anayeweza kubeba hiyo Pombe kama jinsi huyo mtu mweusi alivyofanya, Kazi nyingi mbaya huko ulaya zinafanywa na watu weusi au niseme Watu weusi kutokana na "segregation" wanalazimika kufanya kazi hata zinazodhalilisha utu wao mojawapo ni kazi kama hiyo, ili tu waweze kukidhi shida zao, kifupi Umaskini na dhiki vinaweza kumfanya mtu awe mtumwa.
Pombe sio kitu kizuri kwani Dini zote zinapinga Ulevi na ndio maana hata kuna sheria huko Ulaya nk, zinataka mtu aanze kuwa mlevi wa pombe akifikisha miaka 18.
Unapokuja hapa kujibu, linda ulimi wako Punguwani weeee.
unajua kuna watu huitwa butler na kazi yao ni kusimama pembeni ya meza wakati wa kula na kumimina vinywaji ? wamesomea kabisaBe specific, kinywaji aina ya POMBE!!, , Kwahiyo huyo ndugu mweusi ni mtaalamu (professional) wa kubeba glass za pombe??!