donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,617
- 3,271
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Very fun ha ha ha
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Aibu Nipo uchi au jiheshim mkuuNenda kozi ya kiingereza au zungumza Kiswahili kama mimi. Unatia aibu.
Kwa bibi yakoWew jamaa hiki kingerez umekitoa wap?..
Nina was wasi na elimu yakofor produce....
tehe tehe tehe tehe mwe! bora yangu ninayejua Kipare tu
Mie nimehitimu elimu ya msingi tu ninajivunia elimu yangu, nina amaniNina was wasi na elimu yako
Akuna kitu kama ichoHighest GPA haiwezi kuwa kipimo cha chuo coz chuoni hamna nationwide exams, ata chuo kikiamua kuwapa mitihani mirahisi wanafunzi wao watapata gpa kubwa. So cku nyngne uwege unafikiria
Wanapinga wote including you ni wale wale wenye GPA za chuma Ulete pole mkuuVipi mleta mada bado una mzuka na hii mada? Hujistukii tangu jana kila anaye comment anakupinga au kukudhihaki bado huoni kama uko wrong?
Angalia tangu jana umepata like moja it means mada yako haina content ya maana just delete it bro
Basi tuliaMie nimehitimu elimu ya msingi tu ninajivunia elimu yangu, nina amani
Mkuu,ulisomea nini huko "chuo kikuu" cha binafsi? Lugha? maana naona umetiririka lugha ya Malkia kwa kiwango cha lami.Kataa ila mtabaki ivyo ivyo na vi GPA vyenu vya 2 to 2.8
Hahahaaa we GPA yangu unaijua?Wanapinga wote including you ni wale wale wenye GPA za chuma Ulete pole mkuu
Sasa mkuu kwa Akili yako naweza kusoma uharo wote huu Upo competent ata kusumurize hujui. MweeeHahahaaa we GPA yangu unaijua?
Ulikosa sifa za kusoma public university kwa kushindwa kucompete wakati wa udahili sasa unataka tuamini kua mhitimu wa Saut bukoka ni bora kuliko mhitimu wa DIT
Hahahaaa pole brother kama hukupata nafasi kwenye good public university jua haukua competent kua mpoleeee
Mi nilipata GPA inayoniruhusu kua hata Tutorial assistant wa UDSM sijui mimi nawewe tukiomba ajira UDSM we umetoka Teofilo Kisanji eti upewe ajira mi nikose hata kama una GPA 4.5 mi niwe GPA 4.0 bado utaachwa trust me
Hapa ninazidi kumuelewa Mama Ndalichako.Takataka tupu. Ulisoma chuo gani?
For produce?????It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Umeandika nini apa?Mwanzon nilidhan umeandika kiingereza cha namna hii kama utan yan satire kukejel huu ujinga wa GPA unaoendelea lakin sasa nimegundua ulichokiandika umemaanisha.
Brthr una kiingereza kibovu sana wala sikutanii. Kama kwel ww ni graduate wa chuo kikuu hii ni hatar co kidogo kwa sababu hicho kiingeleza ni kibovu kinaonekana nje nje hata kwa mwanafunz wa kata anayekijua kikawaida sana.
Umekosea mwanzo mwisho na ndio maana mm nimeshindwa hata nianzie wap kukueleza makosa.
Umeandika kingereza kibovu sana mpaka hoja yako ya GPA haizungumzik bal hoja kuu hapa ni ubovu wa kiingeleza ndi umevuta hisia za wachangiaji.
Mkuu nakushauri tafuta namna yoyote mzur ili upate kunolewa kingereza chako. PAMOJA MKUU
Sio kosa lako ni kosa la asili yakoHongera nawe pia kwa kimombo ulichotumia. Inaonekana nawe ni zao la "private universities" [emoji107] :thumbdown:
Utapatia vipi GPA kubwa wakat haupo competent.?Kwani hapa ndio wanatoa GPA kubwa na competent students? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]