Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

Japo mtoa post ni kama anakejeli, binafsi nipo Private na lecturers wengi katika vyuo hivi ni product ya UDSM. Na sifa mojawapo ya kuwa lecturer ni GPA isiyopungua 3.8. Sasa hiyo UDSM mnayoisingizia kuwa kupata GPA kubwa ni mziki ni ipi? Acheni kuufanya ujinga wenu kuwa wa Kitaifa
UDSM kupata GPA kubwa ni mziki sio utani ila sio kwamba watu hawapati wanapata sana tu ila ni mziki mnene mkuu sio utani
 
UDSM kupata GPA kubwa ni mziki sio utani ila sio kwamba watu hawapati wanapata sana tu ila ni mziki mnene mkuu sio utani
Mimi mtoa mada nimepewa data za kutosha mkuu baadhi ya wanafunzi wa udom wanasema afadhali ya private Kuna unafuu wa GPA kuliko public.. Ila umu jukwaani watu sijui wamekula maharage ya mbarali sijui. Mijitu imekalia kejeli tu badala ya kuukubali uhalisia
 
Hizo data zimebainisha sababu ya hali hiyo?
 
UDSM kupata GPA kubwa ni mziki sio utani ila sio kwamba watu hawapati wanapata sana tu ila ni mziki mnene mkuu sio utani
Anasahau kuwa baadhi ya Private universities huchukua lecturers wenye below 3.8
Asikariri kuwa kila lecturer huko private anayo GPA 3.8
 
Mimi mtoa mada nimepewa data za kutosha mkuu baadhi ya wanafunzi wa udom wanasema afadhali ya private Kuna unafuu wa GPA kuliko public.. Ila umu jukwaani watu sijui wamekula maharage ya mbarali sijui. Mijitu imekalia kejeli tu badala ya kuukubali uhalisia
Huo uafadhali wa kupata GPA kubwa ukiwa private ni kwa sababu private wanamchukulia mwanafunzi kama mteja hivyo ukimkazia uzi wateja watakukimbia
Sasa nenda UDSM uone lecturers walivokua wanaa bro GPA unayopata ndo GPA yako halisi hakuna kuangushia kule lazima uhenye kuipata hata kama ni GPA ya 2.5
 
½÷%2¼ e.g. for produce## poor grammar kama hujui kiingereza andika kiswahili Subiri wazungu wakupe tuition
 
For their work hard## jamani hata mkisema jpm anakosea kutoa vilaza vyuoni halafu unasema ni ticha unakwenda kumfundisha f¹ hivi FOR PRODUCE## FOR THEIR WORK HARD
 
Andikeni kwa ngeli tujue graduate wa public mko vizuri vinginevyo itakuwa ni genye
 
Kama wewe ndio mwanangu unaandika hivi nasema rudi kaanze grammar f²
 
Kiingereza mbona nikilewa naweza....,Kiingereza[emoji23] [emoji23]
 
Umeona mkuu jamaa nashangaa kazi ya kukosoa wao hawandiki hee mijitu Congo hii
Waache tu tatizo ni mfumo ndo umewaweka kwenye iyo hali.. English iko understanding to LOW GPA STUDENTS
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
 
Back
Top Bottom