Ndugu yangu mungu anakuona, hakuna chuo ambacho mwanafunzi unaweza kujipangia GPA.unapata nini kwa kuvichafua vyuo vya private? pasipokuwa na ushahidi?.Atakuwa Tumaini Iringa kule unajipangia GPA uitakayo
Unaumwa weweKati ya "3.0 GPA ya UDSM" na " >4.5 GPA ya St. Joseph"; kwa uelewa wangu nitamchukua wa UDSM. Nadhani mtakuwa mmenielewa.
Na anamuona SanaNdugu yangu mungu anakuona, hakuna chuo ambacho mwanafunzi unaweza kujipangia GPA.unapata nini kwa kuvichafua vyuo vya private? pasipokuwa na ushahidi?.
Km kingereza tabu andika kiswahili we keeping to sleepAliekuambia mi nasoma kwa mikopo nani? Changia mada kama huna cha kukoment just keeping to sleep
We yako uliyoiandika kwa kunyooka i wapi? Jaribu tukuone hata kwa tabu. Huna uwezo huo,unabaki kubwabwaja tu.We mwenyewe english yako uyandika kwa tabu sana lol.
PovuWe yako uliyoiandika kwa kunyooka i wapi? Jaribu tukuone hata kwa tabu. Huna uwezo huo,unabaki kubwabwaja tu.
Ni kweli kabisa coz naona umeshuka ngeli km ya Oxford mzee nani!!!!!! HahahahaaaaaaIt's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Acha genye we mtoto wa kike. Kama sehemu zako za sirini zinakuwasha kajikune huko.Povu
UNGEANDIKA KISWAHILI UNGEFIKISHA UJUMBE KWA UFASAHA KULIKO KIINGEREZA KIBOVU SANA.It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Mkuu ata ivyo hujaulelewa? Ondoa umbu mbu mbu wako hapaUNGEANDIKA KISWAHILI UNGEFIKISHA UJUMBE KWA UFASAHA KULIKO KIINGEREZA KIBOVU SANA.
Kwa kizungu hiki ni bora mimi sikuwa mmoja wenu. Hongera mkuu mnastahili pongezi ila huenda huko kwenye vyuo vyenu inatumika lugha fulani inayofanana na kiingereza.It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Kama kweli wewe uliyeandika unajiita msomi basi Taifa letu lipo mbioni kutoweka!Hahahaa kama hutokei St.Joseph ile ya wahindi sijui
Yaani bila data unataka tukuamini kwamba uko sahihi kwa usemayo?
Acha utani brother
Pa1 SanaNi kweli kabisa coz naona umeshuka ngeli km ya Oxford mzee nani!!!!!! Hahahahaaaaaa
Unacheka umetekenywa na nani. Bangi izi daah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] for poroduce eti[emoji3][emoji3][emoji3]