Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

haya ya yote yamesababishwa na tamaa za pesa, hasa SAUT et al, haiwezekani kujaza vyuo kama kumbi za video. Na awamu hii vitafungwa tu maana hatuna mikopo ya kugawa gawa hovyo.
 
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
For their work hard unamaanisha nini ? acha kufikiria kwa lugha za makabila halafu unaandika kiingereza
 
Kwa taarifa yako sikujaza public universities. Koz nilijua nitatoka na vi GPA vya kitoto
Naendelea kukwambia wewe ni kilaza kama sababu yawewe kusoma private university ni kupata GPA kubwa basi hiyo ada imeungua bure na sisi kama taifa tumepata hasara.
Hukua na sifa(qualification za kujiunga public university kataa kubali maneno yangu ni kama maneno ya biblia na Quran hayaendagi bure)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu na wewe umesoma hizo private universities? Kwa uandishi huu:
"Universities for produce "
 
Congratulations to private Universities for produce the highest GPA and competent students

Hiyo heading umetengenezewa au ndio uwezo wako unaishia hapo, are you a graduate? Basi uwe unaandika kwa kiswahili kaka
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
 
Naendelea kukwambia wewe ni kilaza kama sababu yawewe kusoma private university ni kupata GPA kubwa basi hiyo ada imeungua bure na sisi kama taifa tumepata hasara.
Hukua na sifa(qualification za kujiunga public university kataa kubali maneno yangu ni kama maneno ya biblia na Quran hayaendagi bure)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitokaa nibishane na jitu lenye ki GPA cha chekechea kama wewe alafu nitaafaidika nini?
 
Hahahaaaa we felia mkuu acha jazba

Unaendelea kudharirika kwa upuuzi unaoandika
Hata kingereza chenyewe hujui umekomaa kupost
Haya nikuulize hiyo GPA kubwa imekusaidiaje kuikomboa Tanzania kutoka kwenye umaskini?
 
Kama umemaliza Chuo Kikuu ndugu yangu "go back to the drawing board." Kwa maana nyingine ukaanze chuo upya.Mkuu ulichoandika "is a collection of English words,not English sentences." Kama mkuu umetoka kwenye chuo binafsi ambacho ni kati ya hivyo unavyovipigia chapuo,kifutwe tu.Dah!Kweli usichokijua ni usiku wa giza.
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
 
Hahahaaaa we felia mkuu acha jazba

Unaendelea kudharirika kwa upuuzi unaoandika
Hata kingereza chenyewe hujui umekomaa kupost
Haya nikuulize hiyo GPA kubwa imekusaidiaje kuikomboa Tanzania kutoka kwenye umaskini?
Nimegundua your typical intellectual so keep away from me
 
Kama umemaliza Chuo Kikuu ndugu yangu "go back to the drawing board." Kwa maana nyingine ukaanze chuo upya.Mkuu ulichoandika "is a collection of English words,not English sentences." Kama mkuu umetoka kwenye chuo binafsi ambacho ni kati ya hivyo unavyovipigia chapuo,kifutwe tu.Dah!Kweli usichokijua ni usiku wa giza.
For this handwriting is a sign of your academic level... So go back to learn more....!!!
 
Japo mtoa post ni kama anakejeli, binafsi nipo Private na lecturers wengi katika vyuo hivi ni product ya UDSM. Na sifa mojawapo ya kuwa lecturer ni GPA isiyopungua 3.8. Sasa hiyo UDSM mnayoisingizia kuwa kupata GPA kubwa ni mziki ni ipi? Acheni kuufanya ujinga wenu kuwa wa Kitaifa
 
  • Thanks
Reactions: Jcp
Back
Top Bottom