Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Kwani hapa ndio wanatoa GPA kubwa na competent students? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa kama hutokei St.Joseph ile ya wahindi sijui
Yaani bila data unataka tukuamini kwamba uko sahihi kwa usemayo?
Acha utani brother
Hapana ila hizo mada kwa kawaida hutolewa na watu wasiojiamini na wanachokifanyaKwani hapa ndio wanatoa GPA kubwa na competent students? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hilo ngeliIt's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Nimewapongeza mkuu najua umu ndani wapo wahusikaKwani hapa ndio wanatoa GPA kubwa na competent students? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa unavyoona wewe ivo pole mkuuUyu mtoa mada ni muhanga wa wale vilaz.a wa udom
Kataa ila mtabaki ivyo ivyo na vi GPA vyenu vya 2 to 2.8Kwa hiki kiingereza cha kuandika cha ovyo sijui ukiongea inakuaje?mtabaki kujidanganya na GPA zenu za magumashi
Sio mbya mkuu kwani kimeharibika nini Mbona pameeleweka?Kulikuwa na ulazima hicho kichwa kiwe cha lugha hiyo?!!!!!
Waache Jamaa wapokee pongezi zao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cha zaid ulicho fanya hapa Umejiaibisha tuu
Ndivyo ilivyoHapana ila hizo mada kwa kawaida hutolewa na watu wasiojiamini na wanachokifanya
Sasa unawezaje kutoa tamko kubwa kiasi hicho bila kuleta utafiti hapa?
Atakua anasoma somewhere in private University ambako anaona yuko competent kwa mtazamo wake
Pole mkuu utakua muhanga wewe wa low GPAhilo ngeli
Kulikuwa na ulazima hicho kichwa kiwe cha lugha hiyo?!!!!!
Mh wale waleKaka;
Weye umeshangaa kichwa tu?? Umeusoma uzi wenyewe?? Jamani, hii lugha ya malkia ililetwa na meli, tusiishabikie kihivyo. Ndo maana wengi mnasema tuiondoe kwenye kufundishia chuo kikuu. Nadhani alipata shida saana kumsikia lecturer ka alipitia chuo chochote. It is so pathetic.
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.