Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

I sincerely hope you are not one of the products of private universities. Your command of language that was used to teach you is awful.
Unamkana mkuu, kaonyesha competent yake
 
Yaani hata Kiingereza chako ni cha wasiwasi utafikiri umelazimishwa. Private universities are for profits and treat their students as commodities. I would agree with you if you were talking about countries like the USA where prestigious private universities like Harvard, Princeton, Yale, Stanford, John Hopkins, Northwestern, U.of Southern California, Columbia, MIT etc produce some of the best minds in the world. Lakini hapa Tanzania mkuu vyuo vikuu binafsi ni magumashi na wanachojali ni pesa tu. Ndiyo maana utakuta mkuu wa Idara hata Masters hana. Unategemea wanafunzi wanaozalishwa wakoje?
Hebu tuanzie chini kwanza shule za msingi na secondary za private zinafanya vizuri au ziko money oriented? jibu la swali hili lita reveal uhalisia wa elimu ya chuo kikuu itolewayo na vyuo hivo.
 
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Kama na ww ni mmoja wao me na appeal hiyo degree yako. You have not qualified to be a degree holder.
 
daa sijui nisemeje,ila muandishi umenifurahisha kubatle na watu humu bila kukimbia.ningekuwa mimi ningelala mbele asee🙂😀😀
 
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Quality knowledge gani kama unakutana na wahitimu wa computer science hawajui number theory au ata set notation
 
Hahahaa kama hutokei St.Joseph ile ya wahindi sijui

Yaani bila data unataka tukuamini kwamba uko sahihi kwa usemayo?
Acha utani brother
Vyuo binafsi havikai na watu wasiojitambua hata siku moja.Jamaa katoa uzi mpya jana anaomba ushauri ameshadisco.
Kwani hapa ndio wanatoa GPA kubwa na competent students? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwa hiki kiingereza cha kuandika cha ovyo sijui ukiongea inakuaje?mtabaki kujidanganya na GPA zenu za magumashi
 
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.

Mara nyingi msomi usipende sana kukurupuka na kutoa matamko ambayo yanatakiwa yafanyiwe utafiti na wewe ukasema bila utafiti kwakusukumwa na hisia tu.
Ulifanya wapi huo utafiti mpaka ukajua vyuo binafsi vinatoa GPA kubwa na Elimu Bora kuliko Vyuo vya Umma?
Sina maana kwamba vyuo hivyo binafsi havitoi elimu bora,ila mlinganisho huo unataka utafiti.
 
Mtoa mada amesema kweli,ila kinachosababisha kwa vyuo vyetu kupata JPA ndogo ni kama kuna kabifu flani hivi,assume recture anawaambia mmekuwa wengi sana lazima awapunguze.
Hivi amepelekwa kupunguza watu ama kufundisha na mtu ajipunguze mwenyewe???
 
Wakuu naomba ufafanuzi kuhusu requirements za kujiunga na degree from diploma. GPA ya ngap wanachukua mwaka huu?
 
Mtoa mada amesema kweli,ila kinachosababisha kwa vyuo vyetu kupata JPA ndogo ni kama kuna kabifu flani hivi,assume recture anawaambia mmekuwa wengi sana lazima awapunguze.
Hivi amepelekwa kupunguza watu ama kufundisha na mtu ajipunguze mwenyewe???
Wahadhiri wengi wanaona sifa wanafunzi kufeli kuliko kufaulu. Ni kasumba ya ajabu sana tena ya kijinga. Hata hvyo wanafunzi wengi pia ni wababaishaji kwahiyo uwezekano wa kufeli pia ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom