nimeona kama umeniita!? Unasema!!!??
Hahahhaaaaa usipolegea utang'ang'ania wewe JudgementOna mnavyoshangaza wewe na Lily Flower mlivyong'ang'ania neno "kulegea" ni dhahiri kwa milegezano yenu ya jana mlivyo legezana, mwawaona mtamlegeza kila mumtakae! .
Mi Silegezeki !
tuko hapa kwenye kikao na mamembaz wa jf arusha wing, erickb52 yupo na ndyofu ya tatu hahaaaaaa.
Wacha mchezo na ndyofu banaaaaa
i knew it.
Unachezea ngano mbichi
Kuna mtu anaweza kunaimbia hapa kuna nini?
IGWE habari ya asubuhiahahahahahahaaaaaaaaaaaa_taratibu mkuu,utajua tu....upo kiongozi?
mimi naomba nimuulize habari za mchana......in advansi....