Confirmed: Erickb52 uzalendo umemshinda.

Tulitupiana Judgement ngoma droo.

Yaani mi nampendaga watu wa aina yako Lily Flower kwa kutomung'unya mung'unya habari! Umeulizwa umejibu!
Hapo ingekua Preta badala kujibu ingekua vilienda vikarudi , vikakaa vikasimama, vikakonda vikanenepa, vikala vikashiba,vikaamka vikalala, vikakasirika vikanuna!.
 
Last edited by a moderator:
Yaani mi nampendaga watu wa aina yako Lil flower kwa kutomung'unya mung'unya habari! Umeulizwa umejibu!
Hapo ingekua Preta badala kujibu ingekua vilienda vikarudi , vikakaa vikasimama, vikakonda vikanenepa, vikala vikashiba,vikaamka vikalala, vikakasirika vikanuna!.
Sisi wa hivyo huww tunawagonga fanta ili kumaintain memory
 
Last edited by a moderator:
Yaani mi nampendaga watu wa aina yako Lily Flower kwa kutomung'unya mung'unya habari! Umeulizwa umejibu!
Hapo ingekua Preta badala kujibu ingekua vilienda vikarudi , vikakaa vikasimama, vikakonda vikanenepa, vikala vikashiba,vikaamka vikalala, vikakasirika vikanuna!.

Kumbe Preta huwa hanyoshi maelezo, natumai umefaili fo feucha referens!!!:becky:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Asipolegea atakuwa km Temeke lol

Ona mnavyoshangaza wewe na Lily Flower mlivyong'ang'ania neno "kulegea" ni dhahiri kwa milegezano yenu ya jana mlivyo legezana, mwawaona mtamlegeza kila mumtakae! .
Mi Silegezeki !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom