Confirmed: Erickb52 uzalendo umemshinda.

Confirmed: Erickb52 uzalendo umemshinda.

hahahahahah hebu mPM amepotea sana

Niko busy sana hapa kijiweni_wateja wanaleta viatu vimechafuka na matope sana...si unajua tena mambo ya mvua siku hizi,..siku hizi mbona hamji kuniungisha hapa kijiweni...leteni viatu kwetu sisi tulio na uzoefu wa miaka mingi kung'arisha viatu bhana.
 
ha haaaaaaaaa, mwambie TANMO anaweza tu akaendelea na Preta, ingawa najua Preta ni wifi yangu kwa moto2012

Don't tell me eti unasikiliza maneno ya huyu Chalii?
Kamon Bebi... sad-face-dog.jpg
 
Back
Top Bottom