Dada yangu kama kuona huwezi basi vaa miwani kidogo, jamaa mbayaaaaa kishenzi tehe tehe.
Kuna kundi limeibuka linajiita Majungu Squard yan kazi yani wanapika majungu tuHata kama!
Ndg yangu ndo ifikie umekata ankle ?
Wadau wanadai unatambaa!
Na mawe ya ku'display mnara yanazidi kupungua!
Is't fare kiongozi?
Kuna kundi limeibuka linajiita Majungu Squard yan kazi yani wanapika majungu tu
Wapo Mr Rocky Mzee wa Rula Baba V Ruttashobolwa na Mungi
waogope
Kuna kundi limeibuka linajiita Majungu Squard yan kazi yani wanapika majungu tu
Wapo Mr Rocky Mzee wa Rula Baba V Ruttashobolwa na Mungi
waogope
Alaaa!
So far tuwaite "majungu sports"
Hahhaaaa inahuuu
Judgement usikubali kupotoshwa....................... halafu hapo kuna mtu anamsaidia kupost............... jamaa network haishiki kabisa saivi...... ipeni heshima ndyofu jamani kha!Kuna kundi limeibuka linajiita Majungu Squard yan kazi yani wanapika majungu tu
Wapo Mr Rocky Mzee wa Rula Baba V Ruttashobolwa na Mungi
waogope
Achana na hawa majungu maker
Niko zangu nagonga coke pineapple
Hahahahahahahaaaaaa
Mzee wa Rula unanifanya nitamani kuongeza nyingine
Wakati naanza kuperuzi hii thrade, niliona kama ina mzahamzaha hivi, bt kila nilipokua nazidi kupitia comments za wadau nimekubali wadau wako bwii bwax la ukweli. Hawatanii !