Na aliyekuruhusu kwenda Sansiro bila kibali cha babu alikuwa nani vile?nipo sana babu ODM... Me mwenyewe ndo naamka saiv... Nina mning'io mbaya... Sansiro kumbe sio kanisa eti!!!! Mpe hi (invizibo)
Alaaa kumbeeeeeee¡¡¡¡¡¡¡¡¿¿¿¿¿¿
Arushaone kapoteza network anaweza fata supu makuyuni wasiliana na Erickb52Hahaaaaaaaa mamangu Blaki Womani umenistua wacha nivumilie fidibaki ya Arushaone
Hahahaaa Lily Flower mi ni fanta tu aisee achana na Majungu SquardUzuri wa hapo hakuna cha tembo wala meno yake maana hukawii kuingia majaribuni, poa.
Preta anakuja hapo ushamaliza Mzee wa Rula alichanganya sparleta na bavaria ameshindwa kuamka......wapi PakaJimmy hajashusha mikonoYan nimegonga supu...namalizia matunda
Hahahaaa Lily Flower mi ni fanta tu aisee achana na Majungu Squard
Na aliyekuruhusu kwenda Sansiro bila kibali cha babu alikuwa nani vile?
Afu hivi unajua na kukumbuka kuwa una adhabu ya babu?
Kwanza huyo mumeo mtalakwa kaamka?
Thanks God ndo nimetoka ibada ya pili
Te.hUla la lah okay
Preta anakuja hapo ushamaliza Mzee wa Rula alichanganya sparleta na bavaria ameshindwa kuamka......wapi PakaJimmy hajashusha mikono
Malhabaaaaa......... eheeee hebu nambie jana nani aliwekwa hapa, na nani alitupwa kule???Babu shkaaaoo
Te.h
Siunanijua mi huwa niko serious Lily
Na aliyekuruhusu kwenda Sansiro bila kibali cha babu alikuwa nani vile?
Afu hivi unajua na kukumbuka kuwa una adhabu ya babu?
Hii inabidi iingine kwenye Guinness world record book, PakaJimmy jitokeze tuone kama mikono imeshuka au bado
Afadhali wewe umekumbuka kwenda church... Make kuna wengine hata hawajaamk!