Confirmed: Erickb52 uzalendo umemshinda.

Confirmed: Erickb52 uzalendo umemshinda.

lakini babu we c ndo ulinitelekeza... Yan ulivoondoka na wenzio wakaondoka nikabaki mpweke ndo nkaamua nijilipue sansiro... Kha watu wa dar wabaya mwe sina hamu nao... Bora ningeenda Arachuga
Ayaaaaa...........

Vijana wa siku hizi wakoje? Hivi yawezekana Nicas Mtei akaichezea shilingi chooni katika kipindi hiki cha mdororo wa uchumi wa kunasiana??

hebu niambie kuwa ulikuwa unatania tafazali........
 
Last edited by a moderator:
Mshiki nakupa angalizo. Maneno mengine hayapaswi kutamkwa asubuhi siku ya Bwana. Ona sasa unanifanya nielekee zangu kaunta kuitii kiu yangu na kulipa kodi ya serekale......

Hivi kesho jumangapi vile??

Ijumaa wiki endi ndo inaanza teh teh teh, Bro sikuhizi umehamia eatel maana si ulikuwa unatumia spaletta kama Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa taarifa. Kwahiyo leo ni kubanjuka tu, siyo? Afu kwanini huwa hujibu sms zangu? Nawe umekuwa kama Preta?

naota kitu gani mazee? Kumbe na wewe ni Chelshit??
We tulia uone mtakavyofyatuliwa km ndovu inavyoteremka kooni kiulainiiii
Dah Sikujua km nawewe ni LiverFool
 
Nakanusha. Mi natumia Voda Fasta, Super Cheka.

Hehehehehe.... mkware alikuwa anarudi reverse bila kutumia side mirror.... akagonga na kunasa (RIP)

Ewaaaaaaaa!!
Dah aisee sikujua...duh noma aisee
Yan aibu mbaya
 
Back
Top Bottom