Confirmed: Erickb52 uzalendo umemshinda.

Confirmed: Erickb52 uzalendo umemshinda.

Akibisha naweka ushahidi wa ndovu yake, Filipo atanisaidia.
 
Last edited by a moderator:
Alifikiri kunywa fanta ni mchezo.............. Kunywa fanta kunahitaji uzoefu bana wacha hiyoooooooooo!
 
angalieni msije kumrudisha kwake kwa mkokoteni mi thimo.
 
angalieni msije kumrudisha kwake kwa mkokoteni mi thimo.

Erickb52 amekuwa adikted na ndyofu, kumpeleka kwa mkokoteni labda kama atakunywa trela nzima................ Huyu jamaa ukikutana naye barabarani unaweza kumwita ndyofu hahaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Amyner hana shida kabisa................. Tatizo unajitesa mwenyewe kunywa ndofu baba kunywaaaaaaaaaaa
Sidanganyikiiiiiiiii.....
Hehheheee ila nahisi kuzidiwa
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 amekuwa adikted na ndyofu, kumpeleka kwa mkokoteni labda kama atakunywa trela nzima................ Huyu jamaa ukikutana naye barabarani unaweza kumwita ndyofu hahaaaaaaa
Hahahhahaa Mungi unajitamanisha ndofu lol ngoja nigonge moja.... charminglady kuja tushtue moja aisee
Btw miss you sana
 
Last edited by a moderator:
dah nawaonea huruma wanywaji pombe duh madai yao wanajiburudisha hivi kuna burudani inayozidi ile ya naniliiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom