Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?

1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*

5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?

WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Zimejengea viwanda
 
Mzee Mwinyi alikuta Nchi inanuka Uvundo wa dhiki na Umaskini na Hazina kuu haikuwa hata na fedha za kulipia Mzigo wa Mafuta mpaka tulipopigwa Jeki na PM wa Zimba we ya Mugabe Mataifa makubwa yamekata Misaada lakin Ilimchukua Miaka miwili tu Mzee Yule kutokomeza Foleni zote za bidhaa adimu na ndio ukawa Mwanzo wa Nchi kufunguka na watu kuanza kujenga na hata hii Dsm unayoina leo ni Matokeo ya Mwinyi kuvunja Ukiritimba na urasimu wa kijamaa.

Hakuna Rais alieikuta hii Nchi iko hovyo Kama Mzee Mwinyi sema tofauti yake na Marais wengine ni kutojikweza kwake na kujishaua Kama Wenzie.
Mwinyi
Watu wamekuwa vipofu sana. Kwa hakika mi sio fan wa JK, lakini haki yake apewe. Kila kona kaweka kumbukumbu zake.
Haa haa eti ''mimi sio fan wa JK''. Wee mzee udini umekukaa mpaka shingoni utaacha kuwa fan wa JK.
 
Ya kweli haya mkuu?
Kama una jamaa yako anafanya kazi serikalini kwenye zile idara zinazotegemea ruzuku ya serikali kuu mpigie simu akupe fact. Jamaa hawana kitu kabisa, hata wino wa printa imekuwa anasa. Hakuna kitu magari yamepaki, barabara za mitaani zina hali mbaya, hata uzoaji taka mitaani ni shida. Ujima umerudi
 
Ile clip hataki hata kuiona na nna uhakikaa kabisa alikua anatamba kule tabora hakuna haja ya combination mtu akifaulu tu apate mkopo tena kwa kusisitiza atafukuza wale wote watakao chelewesha alikua anaongelea hela za wengine tu hapa anatapa tapa

Wanasiasa huwa hawatekelez yale wanayoahidi
 
Ukishampa kiongozi mtu mwenye mawazo ya kimasikini ndivyo inavyokuwa kwake utajiri ni anasa na hii imehamia hadi kwa wasaidizi wake mwanafunzi akipewa mkopo eti atanunua TV

Hayo yalikuwa mawazo ya Profesa mmoja alipata kuwa pale elimu,alijenga hoja huohyo kuwa ukipewa mkopo utanunua TV
 
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?

1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*

5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?

WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
anaudhi sana huyu msukuma uchwara
 
Hatunywi sumu[emoji443] [emoji441]
Hatujinyongiiiiii[emoji443] [emoji441]

Wacha waisome namba
 
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?

1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*

5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?

WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Ww ndo kichaaa kabisa yani haitaji mkae wa nne ili tuanze kujiuliza. Ivi huoni madeni tunayo daiwa ama yeye alikuwa anakopa tu
 
Pamoja na ukenge wangu! Watanzania huwa tunatazama vitu kwa ''mafupi yake ''na sio ''mapana yake''! Huyo aliyeanzisha thread anamsifia Kikwete lakini anashindwa kujua kuwa haya matatizo yanayotokea sasa mengi yalisababishwa na huyo anayemsifia. Kikwete alijenga ''uchumi bandia.'
Ungekuwa na akili, hapo ulipomtaja Kikwete ungetaija CCM! Acha ukenge mkuu!
 
Alikuwa anatembeza bakuli nje ya nchi anarudi na pesa za madafu
 
Ww ndo kichaaa kabisa yani haitaji mkae wa nne ili tuanze kujiuliza. Ivi huoni madeni tunayo daiwa ama yeye alikuwa anakopa tu
Maden kitu gan weweeee
We unajuaa nan alianzaa kukopaaa?
Wanavolipaa unajuaa n kias gan imebakiaa tunadaiwaaa
Den den tyu utakufaa utaliachaaa
 
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?

1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*

5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?

WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Nyerere hawezi kurudi muacheni apumzike kwa amani baba yangu,mtani wagu!SITAKAGI UJINGA na watani zangu mm[emoji144]
 
Back
Top Bottom