Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,354
Pesa imeenda nunulia bombadia na nyingine tunahamia Dodoma
Karibu Dodoma mpendwa
Karibu Dodoma mpendwa
- Nyongeza ya mishahara imesitishwaKIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Kikwete ndiye Rais bora baada ya mwinyi Baba yangu alipata degree bure kipindi cha mwinyi mimi nimepata degree ya mkopo kipindi cha kikwete pale Udsm!!KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Ndio maana ninaamini sana katika ile slogan ya LOWASSA ya:Hii noma ila mmi ninachojiuliza want was kampen Mheshimiwa alikuwa anaahidi nni kuhusu wanafunz was elimu ya juu kupata mikopo na hiki kinachotokea saiv in kitu gani
Laana ya kumtukana JK itawaandama mpaka mumfuate msoga mkaombe radhiKIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Mtamkumbuka Mzee wa Chato 2025 Mwigulu akiwa rais.Laana ya kumtukana JK itawaandama mpaka mumfuate msoga mkaombe radhi
Sisi tunafanya uhakiki kabla ya kutoa mkopo,kila zama na vitabu vyake,huwezi kwenda peponi kabla ya kufa
Aliekwambia mwigulu rais 2025 nani,au unampigia debe kijanja dada?Mtamkumbuka Mzee wa Chato 2025 Mwigulu akiwa rais.
Hewaa... mimi shida yangu tu uzitafune kama nguruwe. Kunya kwani nini bwana, hata kukutawaza mbona nitakutawaza mpaka utakate!Na tutazinya kwenye vichwa vyenu
La hasha,Aliekwambia mwigulu rais 2025 nani,au unampigia debe kijanja dada?
Mkuu kudeki barabara ni ujuha tu hata kama lowassa angekuwa rais bora....We umeona wapi barabara inadekiwa kama sio ujingaSi mlituona wajinga wakati tunadeki barabara!
Hahaaaaa wavivu ndiyo wanapiga kelele walizoea dili sasa kwishinee shikamoo jpm wetuUlizoea kunyonya vidonda kama nzi na sasa umekosa cha kunyonya ndio unamkumbukumba mvivu mwenzako sio! Sera ya awamu ya tano ni moja tu: asiyefanya kazi na asile na acha kudai haki bila wajibu!
Mpuuzi kabisa wewe...Sindano ya tetenus tu niliitafuta dar nzima nyau wewe unaongea nini hapaMajibu ya kibavicha haya..ulishawahi kwenda hospitali ukakosa dawa?