PostGE2025 CNN, kwanini mmeleta report isiyokua na jambo jipya?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Rungwe88

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
306
Reaction score
633
Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.

Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina taarifa zenye utafiti wa kina na Hali ya juu kuhusu mauaji ya kinyama yaliyofanywa na utawala huu uliopo nchini Tanzani, lakini nyingi ya taarifa mlizotoa ni zile ambazo tayari tulikua nazo kabla mfano jambo la makaburi ya halaiki, mochwari n.k

Nimeandika haya sababu inawezekana haya mauaji yaliyofanywa ni makubwa na mlicho toa report ni asilimia chache za ukweli wa kilichotokea kwenye mauaji ya vijana wetu.

Swali lingine ninalojiuliza, inakuwaje report itolewe Leo na siku hiyo hiyo anatokea mtu wa serikali ovu anasema kwamba wataitolea maelezo, je ni kwamba walishajiandaa na report aina hiyo?

Lengo langu sio kukejeli, kuikataa au kudogosha report yenu ila ni kujiuliza hasa malengo ya hiyo report kwenye wakati kama huu ambao taifa lipo kwenye wakati mgumu.

Mengi ya mambo mliyo report ni tayari yalikua yanazungumzwa katika namna mbalimbali, hivyo nilitegemea kwa uzoefu wenu mngeenda mbali zaidi na kutoa report ambayo Ina uchambuzi wa kiteknolojia ulio mkubwa na utafiti wa hayo mauaji makubwa yaliyotokea kwa watanzania.

Ndugu watanzania naomba tuelewane kwamba taifa lipo kwenye wakati mgumu sana, hivyo tuwe makini na taarifa zote zinazotolewa kipindi hiki,

pia ninawapongeza CNN kwa hicho walichoonesha kwa Dunia kuhusu mauaji ya kikatili kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu, ila inawezekana walichoreport ni sehemu ndogo ya uhalisia wa ukatili, mauaji n.k yaliyofanyika kwa watanzania.
 
Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani,

Wew ni teknolojia gani sasa unataka zaidi ya hapo.

Au kichwa chako ni kigumu kuelewa?
1.CNN wameweza kuonyesha namna polisi walivyo kuwa wana shoot watu mfano walikuwa 100m mbali kutokea kwa watu na CCN wameonyesha directions namna watu walivyo kuwa wana shutiwa.hivyo imedhibitisha kuhusika kwa polisi.

2. Risasi za moto kutumika mfano yule mama kupitia teknolojia imeonyesha risasi ilipo mpiga jambo ambalo watu tulikuwa atuwezi kuona kwenye video za kawaida.

3.wameonyesha makaburi ya halaiki kwa kutumia satellite.

Swali sasa wew ulitaka waje na video zipi zaidi ya hizo , au teknolojia gani embu tuo maoni yako wew
 
Attachments

  • 20251121_170826.jpg
    20251121_170826.jpg
    102.9 KB · Views: 20
Embu watu waende hayo maeneo watapata ndugu zao, japo miwili itakuwa imeharibika.
Hii serikali imepata laana na ni kama vile Mungu yupo kinyume na hii serikali ya awamu hii. Heri wale ambao walikatwa kwenye ubunge, Mungu aliwaepusha na jambo.
 
Lawama wapewe nyumbu wa mbogamboga na siyo kuwakazia shingo CNN.
Ninachojaribu kufanya sio kutoa lawama, ila kujiuliza ni kwanini report Haina taarifa za utafiti wa kina?

Sababu kwa chombo kikubwa Cha habari duniani kama CNN kinachotumia teknolojia ya Hali ya juu na watendaji wenye uwezo mkubwa, hivyo sikutegemea kuona report kama waliyotoa
 
Inaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?
Sawa zilikuwa ni tetesi ila cnn wame varify zaidi kwa kuonesha picha ya eneo kabla na sasa....yaani kwasasa ni uhakika ukichimbua ardhini utakuta miili ya watu!
 
Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani,

Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina taarifa zenye utafiti wa kina na Hali ya juu kuhusu mauaji ya kinyama yaliyofanywa na utawala huu uliopo nchini Tanzani, lakini nyingi ya taarifa mlizotoa ni zile ambazo tayari tulikua nazo kabla mfano jambo la makaburi ya halaiki, mochwari n.k

Nimeandika haya sababu inawezekana haya mauaji yaliyofanywa ni makubwa na mlicho toa report ni asilimia chache za ukweli wa kilichotokea kwenye mauaji ya vijana wetu.

Swali lingine ninalojiuliza, inakuwaje report itolewe Leo na siku hiyo hiyo anatokea mtu wa serikali ovu anasema kwamba wataitolea maelezo, je ni kwamba walishajiandaa na report aina hiyo?

Lengo langu sio kukejeli, kuikataa au kudogosha report yenu ila ni kujiuliza hasa malengo ya hiyo report kwenye wakati kama huu ambao taifa lipo kwenye wakati mgumu.

Mengi ya mambo mliyo report ni tayari yalikua yanazungumzwa katika namna mbalimbali, hivyo nilitegemea kwa uzoefu wenu mngeenda mbali zaidi na kutoa report ambayo Ina uchambuzi wa kiteknolojia ulio mkubwa na utafiti wa hayo mauaji makubwa yaliyotokea kwa watanzania.

Ndugu watanzania naomba tuelewane kwamba taifa lipo kwenye wakati mgumu sana, hivyo tuwe makini na taarifa zote zinazotolewa kipindi hiki,

pia ninawapongeza CNN kwa hicho walichoonesha kwa Dunia kuhusu mauaji ya kikatili kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu, ila inawezekana walichoreport ni sehemu ndogo ya uhalisia wa ukatili, mauaji n.k yaliyofanyika kwa watanzania.

Punguza shobo, hukuwachangia hata senti. Sie tumeridhika nayo, kama unataka yenye mambo mapya zaidi ongea na Riyoba wa TBC mtengeneze ya kwenu
 
Wew ni teknolojia gani sasa unataka zaidi ya hapo.

Au kichwa chako ni kigumu kuelewa?
1.CNN wameweza kuonyesha namna polisi walivyo kuwa wana shoot watu mfano walikuwa 100m mbali kutokea kwa watu na CCN wameonyesha directions namna watu walivyo kuwa wana shutiwa.hivyo imedhibitisha kuhusika kwa polisi.

2. Risasi za moto kutumika mfano yule mama kupitia teknolojia imeonyesha risasi ilipo mpiga jambo ambalo watu tulikuwa atuwezi kuona kwenye video za kawaida.

3.wameonyesha makaburi ya halaiki kwa kutumia satellite.

Swali sasa wew ulitaka waje na video zipi zaidi ya hizo , au teknolojia gani embu tuo maoni yako wew
Upo sahihi na ndio maana nikatoa angalizo kwamba sikejeli, dharau au kudogosha report yao.

Ila ninajiuliza kwamba kwa uwezo wa teknolojia, wafanyakazi, pesa, uzoefu n.k walivyonavyo CNN wangetoa report yenye taarifa za kina zaidi kuliko kutoa taarifa zile zile tulizokua nazo watu wa kawaida kabla.
Kwa hiyo ni muhimu sote kujiuliza malengo ya kila report inayotolewa sasa kipindi kama hiki.
Inawezekana walicho report ni sehemu ndogo ya maafa makubwa yaliyotokea kwa ndugu zetu watanzania
 
5

Mnarudia rudia 'report ya kina' ni kama Mna fatancy fulani au tuseme theory mnataka kusema Ila mnashindwa kuwasilisha.
 
Nadhan Hii Report Ya Awali Wametoa Tangu Taifa Kutoka Kwenye Giza Nafikir Reports Nyingine Zitafata Baadaya Hii Serikal Ikiweza Kukanusha
Kama itakua kweli hivyo ulivyoandika basi litakua jambo zuri sana.
Sababu inawezekana mauaji, ukatili uliofanyika ni mkubwa kuliko report hiyo ya CNN.
Kitu kingine Cha kujiuliza ni kwanba inakuaje mtu wa Serikali hiyo ovu anatokea haraka baada ya hiyo report na kusema ataitolea ufafanuzi?

Swali ni je Serikali tuhumiwa ili jiandaa kutokea kwa report aina hiyo kutoka CNN?
 
Back
Top Bottom