cnn

The Cable News Network (CNN) is a multinational news-based pay television channel headquartered in Atlanta, United States. It is owned by CNN Worldwide, a unit of the WarnerMedia News & Sports division of AT&T's WarnerMedia. It was founded in 1980 by American media proprietor Ted Turner and Reese Schonfeld as a 24-hour cable news channel. Upon its launch in 1980, CNN was the first television channel to provide 24-hour news coverage, and was the first all-news television channel in the United States.As of September 2018, CNN has 90.1 million television households as subscribers (97.7% of households with cable) in the United States. According to Nielsen, in June 2021 CNN ranked third in viewership among cable news networks, behind Fox News and MSNBC, averaging 580,000 viewers throughout the day, down 49% from a year earlier, amid sharp declines in viewers across all cable news networks. CNN ranks 14th among all basic cable networks.The network is known for its dramatic live coverage of breaking news, some of which has drawn criticism as overly sensationalistic, and for its efforts to be nonpartisan, which have led to accusations of false balance.Globally, CNN programming has aired through CNN International, seen by viewers in over 212 countries and territories; since May 2019 however, the US domestic version has absorbed international news coverage in order to streamline programming expenses. The American version, sometimes referred to as CNN (US), is also available in Canada, some islands of the Caribbean and in Japan, where it was first broadcast on CNNj in 2003, with simultaneous translation in Japanese.

View More On Wikipedia.org
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nawaomba BBC DW ALJAHEZZERA NA CNN wafungue page zao JamiiForums

    Nayaomba mashirika haya yafungue page zao rasmi humu JamiiForums ili iwe rahisi sisi wananchi tuliotelekezwa na vipeperushi vya CCM tuteme nyongo. Naamini ujumbe huu utaenda viral kwenye mashirika hayo Mimi nitaanza na CNN ambayo ni rahisi kuifikia.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Senators wa US kuwaweka kitimoto ujumbe wa Tanzania mubashara kupitia CNN?

    Ikiwa Maseneta wa Marekani watakaowahoji ujumbe wa Tanzania wataamua mahojiano hayo yawe mubashara kupitia CNN kuhusu Tanzania, kwa lugha pendwa ya Kiingereza, Wakielekeza hoja zao katika maeneo ya Hali ya demokrasia na uchaguzi wa Tanzania na Tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu baada ya...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania CNN reporter shocked by the level of STABILITY in Iran despite the ongoing Zionist aggression

    CNN reporter shocked by the level of STABILITY in Iran despite the ongoing Zionist aggression.
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini mwandishi wa CNN Larry Madowo hajatuma picha au video za wananch waliouawa kwenye vita ya Iran au Sudani mpaka sasa?

    Hakuna malipo au? Kulikoni yupo kimya kuposti video na picha za watoto na akina mama waliofumuliwa mafuvu kwenye vita inayoendelea hapo Sudani, lakini pia ile ya Iran dhidi ya Israel na Marekani? Artificial intelligence imemshinda kuungaunga na kutengeneza picha na video za mchongo za maafa ya...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoliki huku Vyombo vya Habari vya ndani vikiripoti

    BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti. Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na vitbulisho hawakutoa ili kuthibitisha ushirika wao na kanisa hilo.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi

    Ina maana this is not great news? Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vyaripoti barua ya Mange kwa Trump

    CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9? Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa masaa 24 tu urudiwe. Gen z kuendelea kumuita trump huku mamlaka zake kuendelea kutathimini uhusiano...
  8. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN: Samia akiri kutoa amri ya kuua maelfu ya wananchi waliokuwa wakiandamana kudai haki zao

    Mambo yanazidi ku-unfold.
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania D9 tutafukua makaburi ya kondo kujilidhisha taarifa ya CNN kama ni kweli tutamplekea Samia Ikulu

    #D9 tutafukua makaburi ya kondo kujilidhisha taarifa ya CNN kama ni kweli tutampelekea samia ikulu. #D9 ni wakati sahihi na tukiwa wengi sana kufukua pale kondo
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa

    Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa. Viongozi wajinga ndio wametufikisha nchi kwenye machafuko,
  11. A

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wakenya kuhusiana na taarifa ya CNN

  12. F

    JamiiForums Tanzania Kama Hamkuuwa Pelekeni CNN Kwenye Mahakama Husika za Kimataifa Tujue Ukweli

    Msigwa, tunakushauri kama kweli serikali yako haikuuwa watu kuanzia tarehe 29 October, muwapeleke CNN kwenye mahakama husika za kimataifa . Msiishie kulalamika. Maana mnaonyesha kwamba CNN, Aljazeera, BBC, DW, AFP wote wanaongea uongo. Kama kweli nyinyi ni watu mlio na uhakika na hamkuuwa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nawaza tu endapo CNN wangesema Tanzania inaongoza kwa ukuaji wa uchumi barani Afrika, hizi kauli za vyombo vya ndani tu, mara ni AI tusinge zisikia

    Ubinafsi na roho mbaya ndivyo zilivyo, hao CNN wangepongeza ukuaji wa uchumi au wangepongeza utawala wa Samia yani ingekuwa ndio hashtag ya Msigwa na Samia, wala tusingezisikia habari za AI wala nini, kweli ujinga na upumbavu ni homa kali sana Tanzania.
  14. Miguel255

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa awafundisha CNN Kazi

    Girishoni hajaongea kitaaluma, bali ameongea kisiasa. Nguli wa taaluma ya habari, Walter Lippmann aliwahi kusema "In opinion we seek two sides, but facts have no two sides" Akimaanisha Maoni yana pande mbili, lakini uhalisia hauna pande mbili. Mvua ikinyesha, huhitaji pande mbili ili kuandika...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa umakini mkubwa jinsi Msigwa anavyoibagaza CNN!

    Wakuu, Yaani mpaka waandishibwa habari wenyewe aliowasifia kuwa na "Weledi" na "Maadili" walikuwa wakimuona fala😂🤣🤣, yaani vile waandiahi wanavyopigwa spana na wananchi unatoka kusema wamefanya kazi kwa weledi! Wanasema picha zinaongea, na kweli ukiziangalia hizi picha unapata yote waliyokuwa...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari za mauaji kipindi cha uchaguzi

    BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari hizo za mauwaji kipindi cha uchaguzi. Aidha serikali haijakanusha uwepo wa mauwaji ya kutisha oct 29, hata ndugu samia alitoa pole bungeni kwa watanzania waliofiwa. Post ya BBC muda mchache...
  17. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli CV ya huyu mwandishi wa CNN anayetrend hata ukiunganisha za wote pale jengo karibu na NECTA hawagusi?

    Nauliza TU Mbogamboga mloingia shift ya usiku mnijibu tafadhari
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilitegemea Msigwa abebe waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki bila ushahidi wowote

    Nilitegemea anayejiita Msemaji Mkuu wa Serikali na mtoa ufafanuzi mkuu Bwana Gerson Msigwa leo angebeba waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki bila ushahidi wowote. Nilitegemea aseme sasa ndugu zangu, CNN si wamesema kuna makaburi ya halaiki...
  19. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Anaesema tupuuze taarifa za CNN alete za kwake

    Ni rahisi nyeupe kuwa nyeusi lakini sio nyeusi kuwa nyeupe Aisee huu mbinyo umewafanya wakimbie kama kuku alokatwa kichwa ,huzani anapokimbia ndo anakimbia kifo kumbe ndo tayari kishamkabili...
  20. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Serikali chutama kama ambavyo mnaleta mashaidi wa Siri basi vumilia CNN kuhoji madaktari Kwa siri

    Msigwa ameumia saana CNN kusema waliwahoji madaktari wa hospital ya Seketule(I am not sure with spelling) Kwa Siri na kutoboa Siri ya madaktari kuambiwa wawaweke mochwari majeruhi ata kama hawajafa. Yaani serikali ilkuwa inaona Sawa kuja na mashaidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu, lakini inaumia...
Back
Top Bottom