PostGE2025 CNN, kwanini mmeleta report isiyokua na jambo jipya?

PostGE2025 CNN, kwanini mmeleta report isiyokua na jambo jipya?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
We kwa akili yako report ya CNN ndo ilipoishia basi utakuwa unachekesha, kwa taarifa yako io ni sehemu tu documentary huwaga na lisaa lizima, na pia izo mahaka azitegemei uchunguzi wa CNN wao wataleta wachunguzi wao kuhakikisha
 
Naomba hiyo elimu, nini maana ya chombo kikubwa kama CNN kutangaza hiyo habari?
By the way sijawahi dhani kwamba CNN ni TBC hata kidogo
OK tufanye CNN hawana taarifa mpya, sawa tupe ww hy taarifa mpya
 
Nimeandika kwamba kulikua na tetesi kuhusu mass grave huko kondo kunduchi, kwingine ni msitu wa mabwepande n.k
1. Larry ameprovide evidence ya tetesi za kaburi la halaiki
2. Uwezekano wa majeruhi kuingizwa kwenye mochwari wakiwa hai
 
1. Larry ameprovide evidence ya tetesi za kaburi la halaiki
2. Uwezekano wa majeruhi kuingizwa kwenye mochwari wakiwa hai
OK tufanye CNN hawana taarifa mpya, sawa tupe ww hy taarifa mpya
CNN kazi yao ni kuprove taarifa tulizo nazo yani kuzipa authentication unajuwa kwanni saa za Rolex zipo zinauzwa adi mamilion kwasababu ya authenticity
 
Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.

Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina taarifa zenye utafiti wa kina na Hali ya juu kuhusu mauaji ya kinyama yaliyofanywa na utawala huu uliopo nchini Tanzani, lakini nyingi ya taarifa mlizotoa ni zile ambazo tayari tulikua nazo kabla mfano jambo la makaburi ya halaiki, mochwari n.k

Nimeandika haya sababu inawezekana haya mauaji yaliyofanywa ni makubwa na mlicho toa report ni asilimia chache za ukweli wa kilichotokea kwenye mauaji ya vijana wetu.

Swali lingine ninalojiuliza, inakuwaje report itolewe Leo na siku hiyo hiyo anatokea mtu wa serikali ovu anasema kwamba wataitolea maelezo, je ni kwamba walishajiandaa na report aina hiyo?

Lengo langu sio kukejeli, kuikataa au kudogosha report yenu ila ni kujiuliza hasa malengo ya hiyo report kwenye wakati kama huu ambao taifa lipo kwenye wakati mgumu.

Mengi ya mambo mliyo report ni tayari yalikua yanazungumzwa katika namna mbalimbali, hivyo nilitegemea kwa uzoefu wenu mngeenda mbali zaidi na kutoa report ambayo Ina uchambuzi wa kiteknolojia ulio mkubwa na utafiti wa hayo mauaji makubwa yaliyotokea kwa watanzania.

Ndugu watanzania naomba tuelewane kwamba taifa lipo kwenye wakati mgumu sana, hivyo tuwe makini na taarifa zote zinazotolewa kipindi hiki,

pia ninawapongeza CNN kwa hicho walichoonesha kwa Dunia kuhusu mauaji ya kikatili kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu, ila inawezekana walichoreport ni sehemu ndogo ya uhalisia wa ukatili, mauaji n.k yaliyofanyika kwa watanzania.
Kwa wengi ilikuwa habari mpya Mkuu....Hasa nje ya Tanzania.
 
Tanzania mnapenda kupata taarifa za ukanda wa Gaza za ndani ila hamtaki taarifa za Nchi yenu za mauaji hao ndio CNN..
 
Back
Top Bottom