PostGE2025 CNN, kwanini mmeleta report isiyokua na jambo jipya?

PostGE2025 CNN, kwanini mmeleta report isiyokua na jambo jipya?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Upo sahihi na ndio maana nikatoa angalizo kwamba sikejeli, dharau au kudogosha report yao.

Ila ninajiuliza kwamba kwa uwezo wa teknolojia, wafanyakazi, pesa, uzoefu n.k walivyonavyo CNN wangetoa report yenye taarifa za kina zaidi kuliko kutoa taarifa zile zile tulizokua nazo watu wa kawaida kabla.
Kwa hiyo ni muhimu sote kujiuliza malengo ya kila report inayotolewa sasa kipindi kama hiki.
Inawezekana walicho report ni sehemu ndogo ya maafa makubwa yaliyotokea kwa ndugu zetu watanzania
Wame verify tulizokuwa tunazijua kwamba sio AI na pia imekwenda international na nafikir wamekili kwamba hyo n sehemu ya vtu vingi vilivyotokea wakati nchi Iko gizani,
 
Upo sahihi na ndio maana nikatoa angalizo kwamba sikejeli, dharau au kudogosha report yao.

Ila ninajiuliza kwamba kwa uwezo wa teknolojia, wafanyakazi, pesa, uzoefu n.k walivyonavyo CNN wangetoa report yenye taarifa za kina zaidi kuliko kutoa taarifa zile zile tulizokua nazo watu wa kawaida kabla.
Kwa hiyo ni muhimu sote kujiuliza malengo ya kila report inayotolewa sasa kipindi kama hiki.
Inawezekana walicho report ni sehemu ndogo ya maafa makubwa yaliyotokea kwa ndugu zetu watanzania
Wame verify tulizokuwa tunazijua kwamba sio AI na pia imekwenda international na nafikir wamekili kwamba hyo n sehemu ya vtu vingi vilivyotokea wakati nchi Iko gizani
 
Punguza shobo, hukuwachangia hata senti. Sie tumeridhika nayo, kama unataka yenye mambo mapya zaidi ongea na Riyoba wa TBC mtengeneze ya kwenu
Ungeelewa nilichoandika usingeandika hivyo,
Nina uchungu kwa hayo mauaji yaliyofanywa kwa watanzania wenzetu kuliko unavyofikiria, hivyo kila taarifa inayohusu hilo jambo lazima kuihoji inapohitajika kufanya hivyo
 
Inaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?
Tetris na confirmation, scientific confirmation ni vitu viwili tofauti

CNN wameweza kuonyesha watu waliuawa na polisi na kuzimwa kwenye makaburi ya pamoja. Hilo kwa TV kubwa kama CNN ni jambo kubwa sana.
 
Mpambanie bosi wako Girishoni, CNN wabaya sana
-a4wbuh.jpg
 
🤣🤣
Ripoti Iko vizuri tu mbona sioni kama Iko na shaka yoyote
Ni kweli aina shaka, lakini report haijareport jambo kubwa sana ambalo halikua linafahamika na WA Tanzania,
Kwa ukubwa, uzoefu, teknolojia, rasilimali n.k walizokua nazo CNN tulitegemea kupata taarifa yenye uzito mkubwa zaidi.
Inawezekana walicho report ni sehemu ndogo wa kilichotokea kwa watanzania wenzetu
 
5
Mnarudia rudia 'report ya kina' ni kama Mna fatancy fulani au tuseme theory mnataka kusema Ila mnashindwa kuwasilisha.
Hakuna fantasy, theory au chochote ila ni Hali ya kawaida ya uelewa wa kibinadamu kuhoji kwenye Hali yenye utata kama hii kuhusu taifa letu.
 
Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.

Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina taarifa zenye utafiti wa kina na Hali ya juu kuhusu mauaji ya kinyama yaliyofanywa na utawala huu uliopo nchini Tanzani, lakini nyingi ya taarifa mlizotoa ni zile ambazo tayari tulikua nazo kabla mfano jambo la makaburi ya halaiki, mochwari n.k

Nimeandika haya sababu inawezekana haya mauaji yaliyofanywa ni makubwa na mlicho toa report ni asilimia chache za ukweli wa kilichotokea kwenye mauaji ya vijana wetu.

Swali lingine ninalojiuliza, inakuwaje report itolewe Leo na siku hiyo hiyo anatokea mtu wa serikali ovu anasema kwamba wataitolea maelezo, je ni kwamba walishajiandaa na report aina hiyo?

Lengo langu sio kukejeli, kuikataa au kudogosha report yenu ila ni kujiuliza hasa malengo ya hiyo report kwenye wakati kama huu ambao taifa lipo kwenye wakati mgumu.

Mengi ya mambo mliyo report ni tayari yalikua yanazungumzwa katika namna mbalimbali, hivyo nilitegemea kwa uzoefu wenu mngeenda mbali zaidi na kutoa report ambayo Ina uchambuzi wa kiteknolojia ulio mkubwa na utafiti wa hayo mauaji makubwa yaliyotokea kwa watanzania.

Ndugu watanzania naomba tuelewane kwamba taifa lipo kwenye wakati mgumu sana, hivyo tuwe makini na taarifa zote zinazotolewa kipindi hiki,

pia ninawapongeza CNN kwa hicho walichoonesha kwa Dunia kuhusu mauaji ya kikatili kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu, ila inawezekana walichoreport ni sehemu ndogo ya uhalisia wa ukatili, mauaji n.k yaliyofanyika kwa watanzania.
Wewe bwana, umezoea kuangalia movie sana, sio kila kitu ni movie za Van Dame
 
Jamaa jinga. Unadhani ni kwa ajili ya Tanzania tu. Ni kwa ajili ya ulimwengu.
Sio mjinga, ila report za namna hiyo ni muhimu sisi kama watanzania kuhoji malengo, uhalali, ukweli wake n.k kuliko hao walimwengu
 
Watanzania ni lini tutaelewa vitu basic?

Unaelewa maana ya kudocument kitu? Unaelewa kuwa kuna hatua haziwe kufanyika bila kuwa na official document?

Tunaelewa official document inatakiwa kupitia hatua zipi?

CNN wamedocument kwaajili ya ulimwengu mzima kupata habari ambayo ni verified sio kutoka mtu mmoja mmoja bali taasisi.

Haina jipya mlitaka waongeze uongo au wapunguze kama serikali yenu ambayo imejaa watu waongo?
 
Wame verify tulizokuwa tunazijua kwamba sio AI na pia imekwenda international na nafikir wamekili kwamba hyo n sehemu ya vtu vingi vilivyotokea wakati nchi Iko gizani
Kama ni kweli hivyo basi itakua ni jambo jema.
 
Inaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?
Nadhani mashirika na taasisi za nje hawajapewa access ya kupata taarifa kutokea field ndio maana, Larry madowo aliomba shuhuda na videos ili watoe kitu kitachowezekana.

Nadhani hiyo documentary ilikuwa nia ya kutoa narrative tofauti na ile ambayo inatolewa na serikali kuleta balance ya story katika majukwaa ya ndani na ulimwenguni.

Kwa hiyo, CNN documentary nadhani imetumika kuthibitisha na kuhifadhi properly kile kilichotokea. Lakini huko mbele pengine wakipata access wanaweza kuja na vitu zaidi ikiwemo testimonies ambazo sasa ni ngumu kupata
 
Back
Top Bottom