The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,447
- 14,803
Mkuu Hiyo Documentary imeandaliwa mostly kwa watu nje ya Tanznia ambao hawajui kinacho endelea kwakua mambo yalifanyika gizani
hiyo habari inalenga kuwafungua dunia na sio kuwaharisha nyiny ambao mmeona kila kitu na kuna mipaka ya utoaj habar mengine yatawacost kama taasisiKwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.
Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors
Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina taarifa zenye utafiti wa kina na Hali ya juu kuhusu mauaji ya kinyama yaliyofanywa na utawala huu uliopo nchini Tanzani, lakini nyingi ya taarifa mlizotoa ni zile ambazo tayari tulikua nazo kabla mfano jambo la makaburi ya halaiki, mochwari n.k
Nimeandika haya sababu inawezekana haya mauaji yaliyofanywa ni makubwa na mlicho toa report ni asilimia chache za ukweli wa kilichotokea kwenye mauaji ya vijana wetu.
Swali lingine ninalojiuliza, inakuwaje report itolewe Leo na siku hiyo hiyo anatokea mtu wa serikali ovu anasema kwamba wataitolea maelezo, je ni kwamba walishajiandaa na report aina hiyo?
Lengo langu sio kukejeli, kuikataa au kudogosha report yenu ila ni kujiuliza hasa malengo ya hiyo report kwenye wakati kama huu ambao taifa lipo kwenye wakati mgumu.
Mengi ya mambo mliyo report ni tayari yalikua yanazungumzwa katika namna mbalimbali, hivyo nilitegemea kwa uzoefu wenu mngeenda mbali zaidi na kutoa report ambayo Ina uchambuzi wa kiteknolojia ulio mkubwa na utafiti wa hayo mauaji makubwa yaliyotokea kwa watanzania.
Ndugu watanzania naomba tuelewane kwamba taifa lipo kwenye wakati mgumu sana, hivyo tuwe makini na taarifa zote zinazotolewa kipindi hiki,
pia ninawapongeza CNN kwa hicho walichoonesha kwa Dunia kuhusu mauaji ya kikatili kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu, ila inawezekana walichoreport ni sehemu ndogo ya uhalisia wa ukatili, mauaji n.k yaliyofanyika kwa watanzania.
Soma vizuri bandiko langu, kwa sasa tunatakiwa kuhoji hizo report au documents ila kujua uhalali wake ili kuepuka propaganda, hujuma, fitina zinazoweza kuaminishwa kwa Dunia.Watanzania ni lini tutaelewa vitu basic?
Unaelewa maana ya kudocument kitu? Unaelewa kuwa kuna hatua haziwe kufanyika bila kuwa na official document?
Tunaelewa official document inatakiwa kupitia hatua zipi?
CNN wamedocument kwaajili ya ulimwengu mzima kupata habari ambayo ni verified sio kutoka mtu mmoja mmoja bali taasisi.
Haina jipya mlitaka waongeze uongo au wapunguze kama serikali yenu ambayo imejaa watu waongo?
Watanzania tunapenda umbeya Sana na tusipoangalia tutaishia kama wasomali ...hapo twiga tuna rafiki zetu wengi wanafanya kazi pale mbona hawajatwambia chochote? Hata kapicha kamoja Tu hamna. Leo umeona kieneo kimelimwa toka juu Kwa mbali ushaconfirm ni makaburi hivi unadhani serikalini kuna mbumbumbu kama wewe? Amka kijana ni kweli serikalini kuna ombwe la kiuongozi lakini tusikubali kuchoma nchi yetu ...hakuna Tanzania nyingine hii ikiungua.Inaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?
Kama ni hivyo na iwe hivyo kweli sababu inawezekana walicho report CNN ni 10% ya ukatili, mauaji n.k yaliyofanywa kwa watanzania wenzetuMkuu Hiyo Documentary imeandaliwa mostly kwa watu nje ya Tanznia ambao hawajui kinacho endelea kwakua mambo yalifanyika gizani
Kichaa weweWatanzania tunapenda umbeya Sana na tusipoangalia tutaishia kama wasomali ...hapo twiga tuna rafiki zetu wengi wanafanya kazi pale mbona hawajatwambia chochote? Hata kapicha kamoja Tu hamna. Leo umeona kieneo kimelimwa toka juu Kwa mbali ushaconfirm ni makaburi hivi unadhani serikalini kuna mbumbumbu kama wewe? Amka kijana ni kweli serikalini kuna ombwe la kiuongozi lakini tusikubali kuchoma nchi yetu ...hakuna Tanzania nyingine hii ikiungua.
Wewe unajiona mzima si ndiyo? Una nauli hata ya kuvukia Uganda wewe au njaa KaliKichaa wewe
CNN sio trusted source , ondoa hilo neno.Ni habari mpya kwa ulimwengu from trusted source
Otherwise it was just rumors..
Their are telling the world about your situation...
Appreciate..
Unaona ulivyo bwege umejidhihirisha waliokutuma ...unataka uwaachie msala ndugu zako masikini WA mwakaleli na kiwira uwaachie wapambane na serikali halafu unajua utakimbilia Kwa bwana zako USA waliokutuma.Ndio mimi mzima, zungumza nauli kuhusu USA, UK n.k sio huko matopeni Uganda
Kichaa kama wewe ni wa kupuuzwa tu.Unaona ulivyo bwege umejidhihirisha waliokutuma ...unataka uwaachie msala ndugu zako masikini WA mwakaleli na kiwira uwaachie wapambane na serikali halafu unajua utakimbilia Kwa bwana zako USA waliokutuma.
SASA ni hivi ikiwezekana wale jamaa wenye kofia nyeusi warudi tena tarehe 9 uliwe kichwa ukitoa pua yako nje
CNN sio trusted source , ondoa hilo neno.
Au unafikiri kila anachokisema mzungu ni kweli??
Trump anawajua hao na huwa anawaambia na alishawahi kutaka kuwaondoa kwenye press zake.
Ni kweli SASA hivi usiposhikiwa akili na Mange au Rachel dangwa unaonekana kichaaKichaa kama wewe ni wa kupuuzwa tu.
Nafikiri sasa tupo kwenye mtazamo sana na wewe ndugu,CNN sio trusted source , ondoa hilo neno.
Au unafikiri kila anachokisema mzungu ni kweli??
Trump anawajua hao na huwa anawaambia na alishawahi kutaka kuwaondoa kwenye press zake.
Nafikiri sasa tupo kwenye mtazamo sana na wewe ndugu,CNN sio trusted source , ondoa hilo neno.
Au unafikiri kila anachokisema mzungu ni kweli??
Trump anawajua hao na huwa anawaambia na alishawahi kutaka kuwaondoa kwenye press zake.