Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 367
- 730
Rafiki yangu mmoja aliniuzia kifaa cha kieletronic wakati nanua hicho kifaa kwanza nilivyokipokea sikukielewa kwa sababu sijawai kukiona watu wengi wakikitumia, pili muonekano wake haukuwa kama ninavyotegemea kwa sababu nacho fahamu kifaa kama hiki lazima kuwa na muonekano flani.
Kwa kweli nililidharau na kwa kuwa nilikuwa nawatu wengine nilisema nakirudisha kifaa hiki
Lakini moyoni mwangu wazo likaingia huyu ni rafiki yangu hajawai kunipa kitu kibaya inawezekana kweli hiki kifaa ni kigeni kwangu lakini je ni kifaa original? Kinaweza kunisaidia katika matumizi yangu? Je kina value for money yaani pesa niliyotoa ni sawa?
Baada ya kupata ufahamu huo nikaingia ulimwenguni nikauliza maswali yote juu ya kifaa nilichonacho , na majibu yalikuwa yakushangaza.
Kwani nilibaini kifaa ni original, kifaa ni kizuri na kinatumika katika matumizi yangu ya kila siku na bei yake ni bei nafuu ukilinganisha na bei ya soko
Watu wengi tunadharau kitu kwa sababu hatukijui, kuna watu wanadharau hata wake /waume zao kwa sababu hawajui thamani yao.
Kabla ya kudharau kitu uliza kwanza je kitu hicho ni sahihi , fanya utafiti usiwe mtu wa kudharau pasipo taarifa.
Inawezekana una taarifa lakini taarifa ulizonazo ni taarifa sahihi? Kama hauna taarifa sahihi jaribu kuuliza kwa watu ambao wanajua taarifa sahihi.
Unakuta mtu yuko kwenye mtandao ana dharau imani ya mwingi? Je umewai kufanya utafiti juu ya imani unayo idharau?
Sio kila kitu ambacho ukijui ni kibaya, ni kibaya kwa sababu hauna ufahamu, siku ukipata ufahamu utakuja kushujukuru
Kuna kaka mmoja alikuwa anadharau walokole kwa sababu alikuwa anaona wanasumbua wanapiga kelele
Lakini siku ile halipokutana na tatizo ambalo aliitaji msaada kwa walokole alijua kumbe taarifa alizokuwa nazo sio sahihi na walokole sio watu wabaya kama vile watu walivyokuwa wanatambua.
Kabla ya kudharau jambo fanya utafiti.