Clouds TV acheni kuwadhalilisha bibi, mama zetu!

Ukitaka kutazama hiyo tv au kusikiliza hiyo redio ya unatakiwa uwe mvuta bangi mnywa viroba na uwe umelelewa na wahuni ndo utaiona nzuri.Hawa watu ni majanga tena hawafai hata kwa matumizi ya binadamu hawana adabu wana nidhamu!!

Mkuu hujatutendea haki sisi wanywa viroba, mimi nakunywa viroba lakini hilo litivii kuwa siliangalii, kwanza rangi yake kama ya blue blue muda wote na picha utafikiri wanachukulia na kamera za nokia c3, sijui walikimbilia wapi kuanzisha!
Vipindi vyake ndio kichefuchefu kabisa labda spot xtra tu.
 
Huwa nasikitishwa sana na jinsi yule mtangazaji wa kiume anavyoongea maneno ya kihuni na wale mabibi....mf.mzuka,mtibwa,mtonyo,buubaa,nduki,mpunga nk.
 
daah kuna siku niliangalia nikamuona Zamaradi Mketema kajiachia uchiiii....kichupi kileeeee...hiyo tv ni ya vihiyo! hivi Adam Mchomvu kashaacha kuongea matusi kule xxl?
 
Unategemea nn kipindi kapewa muhuni anaetaka sifa na yupo na wazee wasiweza kujisimamia
 
Yatoka kwa Mdau

SERIKALI IANGALIE UDHALILISHAJI UNAOFANYWA NA CLOUDSTV KUPITIA KIPINDI CHA BIBI BOMBA
Posted on May 19th

Mimi sio mtazamaji mzuri wa Clouds TV kwa kuwa vipindi vyake vingi ni vya ovyo–havina mvuto wala mafundisho ya maana. Jana, kwa bahati mbaya, nilitazama kipindi cha ‘BIBI BOMBA’ kinachorushwa na TV hiyo. Nimehuzunishwa sana kuona jinsi bibi na mama zetu wanavyodhalilishwa hadharani. Bibi zetu huulizwa maswali ya kidhalilishaji.
Bibi mmoja aliulizwa kama aliwahi kula mboga inayoitwa ‘Biology’, akajibu ‘ndiyo’. Hili ni swali linalohusu ufahamu na kwa wabibi wale ambao hawakwenda shule, hawajui biology ni nini. Si hivyo tu, hata wale walioishia la saba hawajui biology ni kitu gani. Kuwauliza mabibi swali kama hili ni kuwadhalilisha kitaaluma kwa kuwa tu hawakwenda shule.
Bibi mwingine aliombwa amtongoze kijana yule anayewauliza maswali hadi amkubali. Bibi akatekeleza agizo hilo laivu mbele ya skrini ya TV! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.
Kama kweli kinachofanyika katika kipindi kile ni kuwajali bibi wale kwa maana ya kuwapatia pesa wakishinda hebu wanaoendesha kipindi kile siku moja wawalete bibi zao na wawahoji maswali yale ya kishenzi tuone kama itakuwa sawa kwao, kwanini pesa iwe kigezo cha kudhalilisha watu wazima? Tena wanadhalilishwa na vijana wadogo wasio na chembe ya maadili? Hivi kweli kumwambia bibi mtu mzima amtongoze kijana mdogo halafu mbele ya skrini kila watu wa rika tofauti wanatazama wakiwemo watoto hapo tunafundisha maadili gani kwa jamii?
Wizara ya jinsia inapaswa kukataza udhalilishaji huu wa kijinsia. Nasi wananchi tuache kushabikia upumbavu huu–tukatae kuwapigia kura bibi wanaoshiriki

SERIKALI IANGALIE UDHALILISHAJI UNAOFANYWA NA CLOUDSTV KUPITIA KIPINDI CHA BIBI BOMBA|Mtizamo Huru

Usiwalaumu Tu Hao Akina Bibi Bali Laumu Mfumo Mbovu Wa Nchi Yako Haswa ktk Kuinua Kipato Cha Wananchi Wake Na Pia Kutokuwa na Sera Madhubuti Ya Kuwatunza Elders Wetu LAKINI Pia Tujilaumu Na Sisi Ambao Hao Akina Bibi Wengine Ni Wzazi Wetu Je Tumechukua Hatua Gani AU Ipi Ya Kuwatunza? ILA Usisahau Pia Kuwa Yale Ni Mashindano Yanayopelekea Kupata Mshindi Hivyo Lazima Kuwe Na Challenges Nyingi Na Hayo Mengine Ni Ya Kiutani tu Kuchangamsha Kipindi Na Kama Tukisema Tuchunguze Vipindi Vingi Hapa Bongo Haswa Vya Runinga ( Television ) Hatutabaki Hata Na Kimoja. Mfano Maisha Plus TBC1 Na Kile Cha Dume Condom ITV. Tuache Tu Kila Mara Kukisema Kituo Cha Clouds Tv au Clouds FM Na Tunavyowasema Humu Ndiyo Kwanza Tunawapandisha Chati Na Tuache UNAFIKI Humu Kama Wewe Huwa Either Husikilizi Clouds FM au Hutazami Clouds TV Umewezaje Kujua Hayo Mapungufu Yao Yote? WATANZANIA Wenzangu Hivi Ni Lini Tutaacha SANIFU na UNAFIKI? Mwisho Tusisahau Kwamba Vipindi Vingi Vimeandaliwa Kutokana Na Fikra Za Jamii Kubwa Ya Kitanzania Na Uhalisia Wake. Binafsi Nazipenda Redio Na Runinga Zote Zilizopo Nchini Tanzania Na Nawaomba Wamiliki Wake Na Taasisi Husika Zizidishe Juhudi ktk KUTUHABARISHA, KUTUELIMISHA na KUTUBURUDISHA.
 
uzi huu upo tayari ndani humu acheni mambo ya ku copy na kupaste...........,

tena umechukua neno hadi neno
 
Mimi sio mtazamaji mzuri wa Clouds TV kwa kuwa vipindi vyake vingi ni vya ovyo--havina mvuto wala mafundisho ya maana. Jana, kwa bahati mbaya, nilitazama kipindi cha 'BIBI BOMBA' kinachorushwa na TV hiyo. Nimehudhunishwa sana kuona jinsi bibi na mama zetu wanavyodhalilishwa hadharani. Bibi zetu huulizwa maswali ya kidhalilishaji.

Bibi mmoja aliulizwa kama aliwahi kula mboga inayoitwa 'Biology', akajibu 'ndiyo'. Hili ni swali linalohusu ufahamu na kwa wabibi wale ambao hawakwenda shule, hawajui biology ni nini. Si hivyo tu, hata wale walioishia la saba hawajui biology ni kitu gani. Kuwauliza mabibi swali kama hili ni kuwadhalilisha kitaaluma kwa kuwa tu hawakwenda shule.

Bibi mwingine aliombwa amtongoze kijana yule anayewauliza maswali hadi amkubali. Bibi akatekeleza agizo hilo laivu mbele ya skrini ya TV! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.

Wizara ya jinsia inapaswa kukataza udhalilishaji huu wa kijinsia. Nasi wananchi tuache kushabikia upumbavu huu--tukatae kuwapigia kura bibi wanaoshiriki.

Huu U.p.u.uzi unaweza kufanyika TZ na Chini ya Utawala huu wa CCM.
 
subiri ma-'GREAT THINKER' waje utaambiwa wewe ni b-12,mara adam mchomvu.....ukitaka uonekane una akili humu we ponda clouds tu
 
Eti bibi anaulizwa, unamjua facebook? Sasa bibi fb inamsaidia nini kama c upuuzi?

Upuuzi mkubwa sana na yote yanafanyika ndani ya mwamvuli unoitwa burudani, sidhani kama burudani haina haja ya kuzingatia maadili ya kitaaluma na kijamii. Kama waandaaji wa hiki kipindi wanafikiri kinapendwa sana waandae number za SMS watu wapige kura kukikubali au kukikataa watapata jibu. Pumbaaav kabisa!!!!
 
Mie iliniuma ile morogoro... Unaenda kuwahoji watu wa vijijini halafu mnachanganya na ung'eng'e. Jamani mimi sikupenda. Hivi watanzania hatuwezi kuongea bila kuchanganya kiingereza? Ni bora mseme mnaigiza. Huyo bibi akirudi mtaani sinwatoto wa majirani watamchemka? Hii inawafedhehesha watoto wa hao mabini. Wapeni maswali ya maana. Tena maswali ya nchi sio kuulizwa maswali ya nchi za nje. Wakati wewe unayewahoji nikikuuliza maswali mwengine ya nchi za nje hutaweza kuyajibu... Kuna vitu vingi sana vya kutuchekesha kutika kwao wenyewe ila sio vya kuwadhalilisha.
Ahsante mtoa mada hii hapa jf.
Wahusika ingilieni kati.

Mimi sio mtazamaji mzuri wa Clouds TV kwa kuwa vipindi vyake vingi ni vya ovyo--havina mvuto wala mafundisho ya maana. Jana, kwa bahati mbaya, nilitazama kipindi cha 'BIBI BOMBA' kinachorushwa na TV hiyo. Nimehudhunishwa sana kuona jinsi bibi na mama zetu wanavyodhalilishwa hadharani. Bibi zetu huulizwa maswali ya kidhalilishaji.

Bibi mmoja aliulizwa kama aliwahi kula mboga inayoitwa 'Biology', akajibu 'ndiyo'. Hili ni swali linalohusu ufahamu na kwa wabibi wale ambao hawakwenda shule, hawajui biology ni nini. Si hivyo tu, hata wale walioishia la saba hawajui biology ni kitu gani. Kuwauliza mabibi swali kama hili ni kuwadhalilisha kitaaluma kwa kuwa tu hawakwenda shule.

Bibi mwingine aliombwa amtongoze kijana yule anayewauliza maswali hadi amkubali. Bibi akatekeleza agizo hilo laivu mbele ya skrini ya TV! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.

Wizara ya jinsia inapaswa kukataza udhalilishaji huu wa kijinsia. Nasi wananchi tuache kushabikia upumbavu huu--tukatae kuwapigia kura bibi wanaoshiriki.
 
Usiwalaumu Tu Hao Akina Bibi Bali Laumu Mfumo Mbovu Wa Nchi Yako Haswa ktk Kuinua Kipato Cha Wananchi Wake Na Pia Kutokuwa na Sera Madhubuti Ya Kuwatunza Elders Wetu LAKINI Pia Tujilaumu Na Sisi Ambao Hao Akina Bibi Wengine Ni Wzazi Wetu Je Tumechukua Hatua Gani AU Ipi Ya Kuwatunza? ILA Usisahau Pia Kuwa Yale Ni Mashindano Yanayopelekea Kupata Mshindi Hivyo Lazima Kuwe Na Challenges Nyingi Na Hayo Mengine Ni Ya Kiutani tu Kuchangamsha Kipindi Na Kama Tukisema Tuchunguze Vipindi Vingi Hapa Bongo Haswa Vya Runinga ( Television ) Hatutabaki Hata Na Kimoja. Mfano Maisha Plus TBC1 Na Kile Cha Dume Condom ITV. Tuache Tu Kila Mara Kukisema Kituo Cha Clouds Tv au Clouds FM Na Tunavyowasema Humu Ndiyo Kwanza Tunawapandisha Chati Na Tuache UNAFIKI Humu Kama Wewe Huwa Either Husikilizi Clouds FM au Hutazami Clouds TV Umewezaje Kujua Hayo Mapungufu Yao Yote? WATANZANIA Wenzangu Hivi Ni Lini Tutaacha SANIFU na UNAFIKI? Mwisho Tusisahau Kwamba Vipindi Vingi Vimeandaliwa Kutokana Na Fikra Za Jamii Kubwa Ya Kitanzania Na Uhalisia Wake. Binafsi Nazipenda Redio Na Runinga Zote Zilizopo Nchini Tanzania Na Nawaomba Wamiliki Wake Na Taasisi Husika Zizidishe Juhudi ktk KUTUHABARISHA, KUTUELIMISHA na KUTUBURUDISHA.
Nimeshindwa kukuele huna koma (,) , hakuna stop (.) na hiyo michanganyo yako ya herufiii ni kichefuchefu
Tumekusikia member wa clouds and so....?
 
Inasikitisha sana kuangalia uzalilishaji wa namna ile! Serikali ichukue hatua mara moja!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Serikali ipi Mkuu? Hii hii ya mk'were?Haiwezi!!
 
Asilimia kubwa ya watangazaji wa hizo tv&radio stations hawana elimu ya hiyo kazi au wanayo kutoka mtaani au hawana ya kutosha.
So hata vile vitu basic vya kumuongoza havifahamu.
Ukiangalia pia uongozi wa hizo stations sio professional hata kidogo hivyo hakuna wakumkosoa mwenzake.
Binafsi sipoteza muda kuwasikiliza wala kutazama.
 
Yatoka kwa Mdau

SERIKALI IANGALIE UDHALILISHAJI UNAOFANYWA NA CLOUDSTV KUPITIA KIPINDI CHA BIBI BOMBA
Posted on May 19th

Mimi sio mtazamaji mzuri wa Clouds TV kwa kuwa vipindi vyake vingi ni vya ovyo–havina mvuto wala mafundisho ya maana. Jana, kwa bahati mbaya, nilitazama kipindi cha ‘BIBI BOMBA’ kinachorushwa na TV hiyo. Nimehuzunishwa sana kuona jinsi bibi na mama zetu wanavyodhalilishwa hadharani. Bibi zetu huulizwa maswali ya kidhalilishaji.
Bibi mmoja aliulizwa kama aliwahi kula mboga inayoitwa ‘Biology’, akajibu ‘ndiyo’. Hili ni swali linalohusu ufahamu na kwa wabibi wale ambao hawakwenda shule, hawajui biology ni nini. Si hivyo tu, hata wale walioishia la saba hawajui biology ni kitu gani. Kuwauliza mabibi swali kama hili ni kuwadhalilisha kitaaluma kwa kuwa tu hawakwenda shule.
Bibi mwingine aliombwa amtongoze kijana yule anayewauliza maswali hadi amkubali. Bibi akatekeleza agizo hilo laivu mbele ya skrini ya TV! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.
Kama kweli kinachofanyika katika kipindi kile ni kuwajali bibi wale kwa maana ya kuwapatia pesa wakishinda hebu wanaoendesha kipindi kile siku moja wawalete bibi zao na wawahoji maswali yale ya kishenzi tuone kama itakuwa sawa kwao, kwanini pesa iwe kigezo cha kudhalilisha watu wazima? Tena wanadhalilishwa na vijana wadogo wasio na chembe ya maadili? Hivi kweli kumwambia bibi mtu mzima amtongoze kijana mdogo halafu mbele ya skrini kila watu wa rika tofauti wanatazama wakiwemo watoto hapo tunafundisha maadili gani kwa jamii?
Wizara ya jinsia inapaswa kukataza udhalilishaji huu wa kijinsia. Nasi wananchi tuache kushabikia upumbavu huu–tukatae kuwapigia kura bibi wanaoshiriki

Una maana gani kupost huu uzi mara mbili? huoni kwamba unatujazia server bila sababau za msingi? Changia mada, kama huna hoja ya kuchangia, changanya miguu.
 
uzi huu upo tayari ndani humu acheni mambo ya ku copy na kupaste...........,

tena umechukua neno hadi neno

Uko wapi? Basi nenda kachangie huko ulikouona! Vinginevyo, changanya miguu....ama umetumwa na Ruge uje kutuvurugia mjadala?
 
Last edited by a moderator:
Nimeshindwa kukuele huna koma (,) , hakuna stop (.) na hiyo michanganyo yako ya herufiii ni kichefuchefu
Tumekusikia member wa clouds and so....?

Hiyo Ni Staili Yangu Na Nimeanza Nayo Na Nitamaliza Nayo Na Huna Huwezo Wa Kunibadilisha. Ungekuwa Na Akili Ungekuwa Unajibu Hoja Na Kuwa Na Tabia Za Kike Kike Na Za Kishoga. Na Pia Huwa Sipendi Sana Kujibizana Na Senior Member Kama Wewe Humu JF Bali Nabishana au Najenga Hoja Na Tunaolingana Kiupeo Humu JF na Ambao Ni Wengi Sana. Tafuta Wa Saizi Yako Na Usitafute KIKI Kupitia GENTAMYCINE. Mbwiga Mkubwa Weye................... USILETE VITA YA MAWE na MIMI WAKATI UNAISHI KTK NYUMBA YA VIOO na Bahati Mbaya AU Nzuri Nimeiga Utaratibu Wa KIYAHUDI Ambapo Ukijamba tu Mimi Naharisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom