Kumbe ingekuwa kiingilio buku ten ndo vibaka wasingeenda au?
Acheni uchawi huyo bakhresa anauza ukwaju 250 hajaanguka .
Acheni uchawi huyo bakhresa anauza ukwaju 250 hajaanguka .
Nashukuru sijawahi kuharibu muda kuhudhuria tamasha hili tangu likiwa hai hadi lilipokufa.
Kiingilio tu kimenifanya nisiende yani buku3 masela was tmk wrote watakuwepo.
Acheni uchawi huyo bakhresa anauza ukwaju 250 hajaanguka .
Kwani ni Uhuru au kwa Mkapa?Clouds ubunifu ni zero kaka , sasa chukua mfano waki haribu viti na kwasababu ya vibe nyasi bandia ziharibike wanalipia cost ya kurekebisha sijui nani kawashauli asee wamembwela sana dogo domo kawapagawisha
Kivyovyote vile ila msanii akitoa ngoma Kali hawezi kushuka hata akifanya show Bure.Huo ukwaju huwa anauuza uwanja wa uhuru kama kiingilio cha kwenda kwenye show ?
Me ndio nashangaa. Waliotoa 10000 tayari wanajikuta mabilionea .Kumbe ingekuwa kiingilio buku ten ndo vibaka wasingeenda au?
Aiseee Fiesta wametisha sana kwa kuweka kiingilio cha chini kabisa cha buku 3 (kulipia via Tigo pesa).
Hizi kweli ni levels aisee , nawapongeza sanaaa
Yaani kwa wale watu waliolipia shilingi laki tano wasafi festival bei yao ni Sawa na watu 1666 wa fiesta hizi kweli levels
Halafu wanaipiga uwanja wa uhuru ili Wajaze vizuri .
Hongereni sana Fiesta kwa kuonyesha mpo levels za kimataifa kwa kutoza buku 3 tuu , tunategemea kutakuwa na watanzania wengi wenye kipato cha chini hasa kutoka maeneo yenye wakazi wengi kama Tandale , Temeke n.k
Natoa tuu rai kwa watanzania wenzetu kujipanga maana wale watu wenye maisha kawaida watajazana sana mule na wengi shughuli yao tunaijua kwenye upande mzima wa Roba mbao n.k
Wa Tandale mtatupa shida tu kwenye usafiriWatu watatoka mbagala,yombo,buza,ilala,vingunguti,tabata,tandale,keko
Yaani ni show ya kila mtu
Wewe ni DJ? Hivi unajua kwamba kipimo cha usalama wangu kwenye starehe ni gharama ya kiingilio? (Mimi binafsi) ninaamini wahuni, vibaka na mateja.. Ukiwawekea kiingilio kidogo, watajaa na kuhatarisha usalama wangu, show Kama Hizo huwa siendi Kabisa.Wasafi ile show ya kijinga unalipa 10000 unaenda kusikiliza sound mbovu,utaona tarehe 8 wanaume tunavyofanya yetu
Wewe usiende waachie hao wa hali ya chini.Wewe ni DJ? Hivi unajua kwamba kipimo cha usalama wangu kwenye starehe ni gharama ya kiingilio? (Mimi binafsi) ninaamini wahuni, vibaka na mateja.. Ukiwawekea kiingilio kidogo, watajaa na kuhatarisha usalama wangu, show Kama Hizo huwa siendi Kabisa.
Ile festival ilikuwa ovyo kabisa. Watu walikuwepo wengi lakini performance ilikuwa zero kabisaShow mbovu watu wangelipa mpaka laki?
Hebu usiongee kama kolo. Japo mie sio team Wasafi ila jamaa wata wa outperform Fiesta.
#Levels halafu kiingilio hela ya pinchi! Subirien kuibiwa simu na mateja wa keko. Lazma wazamie kwa wingi.
Ulienda? Na kama uliangalia kwa tv uliangalia muda wote? Na kama ni hvyo uliwezaje kuangalia show mbovu mpaka inaisha? Na ka uliishia kati kwann useme show yote ilikuwa mbovu ?Ile festival ilikuwa ovyo kabisa. Watu walikuwepo wengi lakini performance ilikuwa zero kabisa