Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Siwezi kuja kwa kingilio cha bukubuku,maana yake itakuwa show ya kiuni na social crimes kama wizi,umalaya,ubakaji utashamili akili zako ndogo nenda shule ukapige desa kaka mdogo.
Dar es salaam ina karibu watu mil 5 na ushee,wewe hata usipokuja haitaathiri chochote,sisi tunaenda kula burudaaani kutoka kwa wataalamu wa burudani Tanzania
 
wahuni wa keko na TMK wanapelekewa kitoweo.

ONYO: Mabishoo wote acheni hizo Iphone XR mahali mlipolipia kodi ya pango. Lawam hatutaki sisi, hapa kazi tu mwendo wa Ndolema!
Yaan mtu utoke Mbezi, kimara, mikocheni, msasani, masaki, tabata n.k kwenda taifa kuangalia show ya 3000?

ukiporwaau kubakwa itakuwa halali yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom