Foul
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 798
- 1,175
Clouds wameogopa kuweka kiingilio cha juu baada ya kupata mrejesho wa mikoani, hofu yao nyingine ni kuogopa kukosa qatu na tamasha lao likaonekanq dogo ya lile la wasafiNi Uwanja wa uhuru hatua nzuri kwao ila kiingilio ni kidogo sana wengine wanaweza kuogopa kulingana na expectation kulingana na walichotoa kuwa kidogo Kiufupi litakuwa tamasha la watoto ila watu wanaojitambua sizani kama naweza toka mbezi,tegeta bunju kufata show ya buku 3 taifa. but all in all mafanikio mema kwao wafanikishe.
Sijawai kusikia popote duniani tamasha ambalo ndio kubwa katika nchi liwe chini ya $1.5 huu ni zaidi ya utoto na kuna tatizo kubwa inaoneka ambalo hatujui au ni uoga na kuwadhalisha wasanii wetu, Sasa wasanii wakija kulia njaa tutashangaa vipi? ndio maana Diamond alikaa aya mambo kumbe alikuwa na hoja!
