Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Aiseee Fiesta wametisha sana kwa kuweka kiingilio cha chini kabisa cha buku 3 (kulipia via Tigo pesa).

Hizi kweli ni levels aisee , nawapongeza sanaaa

Yaani kwa wale watu waliolipia shilingi laki tano wasafi festival bei yao ni Sawa na watu 1666 wa fiesta hizi kweli levels

Halafu wanaipiga uwanja wa uhuru ili Wajaze vizuri .

Hongereni sana Fiesta kwa kuonyesha mpo levels za kimataifa kwa kutoza buku 3 tuu , tunategemea kutakuwa na watanzania wengi wenye kipato cha chini hasa kutoka maeneo yenye wakazi wengi kama Tandale , Temeke n.k

Natoa tuu rai kwa watanzania wenzetu kujipanga maana wale watu wenye maisha kawaida watajazana sana mule na wengi shughuli yao tunaijua kwenye upande mzima wa Roba mbao n.k
 
Aiseee Fiesta wametisha sana kwa kuweka kiingilio cha chini kabisa cha buku 3 (kulipia via Tigo pesa).

Hizi kweli ni levels aisee , nawapongeza sanaaa

Yaani kwa wale watu waliolipia shilingi laki tano wasafi festival bei yao ni Sawa na watu 1666 wa fiesta hizi kweli levels

Halafu wanaipiga uwanja wa uhuru ili Wajaze vizuri .

Hongereni sana Fiesta kwa kuonyesha mpo levels za kimataifa kwa kutoza buku 3 tuu , tunategemea kutakuwa na watanzania wengi wenye kipato cha chini hasa kutoka maeneo yenye wakazi wengi kama Tandale , Temeke n.k
WASAFI CHAMA LAO,SIMBA BABA LAO.
 
Sijawai kusikia popote duniani tamasha ambalo ndio kubwa katika nchi liwe chini ya $1.5 huu ni zaidi ya utoto na kuna tatizo kubwa inaoneka ambalo hatujui au ni uoga na kuwadhalisha wasanii wetu, Sasa wasanii wakija kulia njaa tutashangaa vipi? ndio maana Diamond alikataa aya mambo kumbe alikuwa na hoja!
Fact and well said
 
Wasafi ile show ya kijinga unalipa 10000 unaenda kusikiliza sound mbovu,utaona tarehe 8 wanaume tunavyofanya yetu
Lakini na sound mbovu ilikuwa na gharama kubwa na ikajaa full,but ngoja tuone hao wanyonyaji wa mawingu na bukubuku zao kama hata robo watafika WCB chama lao.
 
Fiesta watajaa watu wa huko huko temeke. Leaders tu watu walikua wanakabwa wanaporwa na hata kubakwa huko taifa sipati picha.
nitakua mlinzi wako tuende tutakodi hoteli iliyokaribu na tukio kuepuka vibaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom