So inamaana unaenda kuangalia wasanii wa buku tatu.Wameishusha thamani sana.
Kiingilio tu kimenifanya nisiende yani buku3 masela was tmk wrote watakuwepo.
Wewe mungu anakuona.Nashukuru sijawahi kuharibu muda kuhudhuria tamasha hili tangu likiwa hai hadi lilipokufa.
Haha haha aiseeYani humor ndani sipati roba zitakazo trend
Naona msela wa tmk umemaindAcha dharau
Nunua VVIP kama pesa unayo
Mkuu usithubutu kwendaHaha haha aisee
Ehee wakianguka wewe unainuka??Anguko la konde boy na kiba ndani ya fiesta yenye kiingilio cha buku 3
🤣🤣🤣Wakazi wa buza tunajua kukabiliana nazo kazi kwao watokea kino na ilalaYani humor ndani sipati roba zitakazo trend
Msanii wa nje hawaleti Baba kasema ni 100% Local,hata ngoma wanazocheza ni za ndani tu mamiloo!Wametangaza wanamleta nani kama mwanamusic kutoka nje?Kiingilio book tatu kweli Clouds fm wameishiwa.


Acheni uchawi huyo bakhresa anauza ukwaju 250 hajaanguka .Anguko la konde boy na kiba ndani ya fiesta yenye kiingilio cha buku 3