Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Tusiwacheke clouds,wasaidiwe ili hili tamasha la fiesta liendelee kuwepo kuliko kufurahia kifo cha hili tamasha.
Pia ushauri wangu kwao clouds,waweke kiingilio kikubwa kiasi ili walete wasanii wa hadhi kidogo kama zamani,maana sa hii fiesta inaweza pita mkoa wako na usijue.Yani haishitui.
Ile walofanya juzi kina Diamond ndo tulizoea ya Fiesta ileeee ya miaka ya mwanzo ya uanzishaji wake.

More than that,watafute ulinzi wa kutosha hyo siku maana kwa hyo bei nafikiri mbagala na maeneo ya jirani watahamia hapo so tutegemea pia hali usalama wa watu na mali zao kua shakani
 
Buku Tatu, Buku Tatu, Buku Tatu, Buku Tatu, Buku Tatu

Kutoka kwenye kiwango na brand yenye nguvu iliyojitambulisha kwa hadhi yake sasa sio siri tena TIGO FIESTA NI DISCO TOTO.

Kutoka kuleta wasanii wakubwa duniani kote mpaka sasa kulazimika kujifanya kupendelea cha kwetu tu. Kweli TIGO FIESTA SASA NI DISCO TOTO. Maji yamefika shingoni. JEMEDARI RUGE ameondoka na nyota yake.

Yaani TIGO FIESTA ni kama mchezaji wa YANGA au SIMBA ambaye msimu mpya unapoanza anasajiliwa na Singida United. Kweli TIGO FIESTA ni kima Adebayor wa Manchester City (mchezaji wa zamani) mpaka kuhamia timu ya Uturuki inayoitwa Kayserispor. Je waijua Kayserispor?

Kweli thamani ya ALI KIBA ni Buku Tatu? Duuuuuuuu. Tunapoelekea TIGO FIESTA watafanya show za bure kama Harmonise ili wajaze tu watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom