Clouds 360 waishambulia CHADEMA kutopenda kukosolewa

Clouds 360 waishambulia CHADEMA kutopenda kukosolewa

Kama mtu ni mgeni wa nchi hii anaweza kusema hiki kilichosemwa ni kweli. Ila kaa, tuliza kichwa kisha pima ccm na cuf wamekosolewa nini, na cdm wamekosolewa nini. Hapo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kujua nini ni nini na kipi ni kipi.
Vijana wa chadema wanajulikana hawawezi kujibu hoja zaidi ya matusi hawapendi kuambiwa hawajui!
 
Watangazaji wa kipindi cha Clouds 360 wanailalamikia tabia ya mashabiki na wanachama wa CHADEMA kwa kutopenda kukosolewa.

Wanasema wanapoikosoa CCM au CUF uwa awapati matusi ila siku wakiikosoa chadema basi wanaoga matusi mazito mitandaoni mpaka kupigiwa simu na meseji za matusi.

Wamelalamika hayo kwenye kipindi chao leo asubuhi.

Kwa hili tubadilike makamanda kama tunapenda kukosoa tuwe tayari kukosolewa.
Kama wametukana mitandaoni wana uhakika gani kuwa wanaowashambulia ni wafuasi wa Chadema? Nadhani hao 360 nao wanafanya siasa za majitaka.

Vv
 
Vijana wa chadema wanajulikana hawawezi kujibu hoja zaidi ya matusi hawapendi kuambiwa hawajui!

Mkuu naona mnatafuta mahali pa kujifichia. Kwa sisi tunaojua ukweli itawachukua muda sana kutuaminisha hilo. Humu jukwaani matusi ama lugha zisizo na staha ni kila upande. Sitaki kutetea lugha zisizo na staha, ila nasema hilo ni la wafuasi wote. Hapa labda uniambie wanazidiana lugha za staha lakini sio vinginevyo.
 
Cdm hamtaki kukosolewa ni wajuaji kama hivi na cliud wanalalamikia matusi mkikosolewa mnatukana kwani ni uongo hilo nalo mnabisha wakati kuna thred zimejaa humu mnatukana na thred za cuf na ccm ziko humu wakikosolewa hawatukani?

Mmekwisha kwa matusi yenu bafmdo kuzika chama

Hilo la lugha zisizo na staha sio la upande mmoja, lugha hizo zinatumika pande zote na ni kwa kiwango kidogo kuliko hoja.
 
Kusema ukweli tu ni dhambi kubwa kuliko zote !!!
ndani ya ccm na kwa serekali!!!
 
Hili ni tatizo sugu. Wao wasiguswe ...Chadema wanahitaji kubadilika sana na kuongoza mwelekeo wa siasa zetu badala ya mwenendo huu wa matusi kwa kila anayewakosoa.
Lini hao clouds 360 waliikosoa serikali ya CCM..

Na kwa nn wanarusha taarifa ya habari na kuonesha mkutano wa CCM na CUF pekee kinondoni..
Wanafiki wakubwa..
 
Watangazaji wa kipindi cha Clouds 360 wanailalamikia tabia ya mashabiki na wanachama wa CHADEMA kwa kutopenda kukosolewa.

Wanasema wanapoikosoa CCM au CUF uwa awapati matusi ila siku wakiikosoa chadema basi wanaoga matusi mazito mitandaoni mpaka kupigiwa simu na meseji za matusi.

Wamelalamika hayo kwenye kipindi chao leo asubuhi.

Kwa hili tubadilike makamanda kama tunapenda kukosoa tuwe tayari kukosolewa.
Hawa 360 ni jumuiya ya. Chama tawala mara xote hukosoa kwa niaba ya chama tawala .
 
Kama mtu ni mgeni wa nchi hii anaweza kusema hiki kilichosemwa ni kweli. Ila kaa, tuliza kichwa kisha pima ccm na cuf wamekosolewa nini, na cdm wamekosolewa nini. Hapo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kujua nini ni nini na kipi ni kipi.
Fact
 
Chadema wanafanana na Mange kimambi wanapenda kukosoa Ila hawapo tayari kukosolewa
Mange ukimkosoa anaku block lakin mitandahimba ya shingoni inamtoka kukosoa wenzie
 
Hata shule umepita kwa kubahatisha UN wanahusika na nini hapo?
Ndiyo nawaambia ujuaji mbele giza,kwani UN hawajawahi kupokea malalamiko yoyote juu ya uonevu wa serikali yoyote ile?

Katibu mkuu UN hajawahi lalamika ju ya machafuko au uvunjaji wa amani?

Nawaambia hivi cdm mkifanikiwa kuiongoza nchi hii kwa akili hizo hakikawengi tutakunywa sumu tu bora tufe kuliko kuongozwa na minyani kama nyie

Kupinga ukweli tu
 
CHADEMA huwa wanafanya makosa makuubwaaa, huwa hawafanyagi makosa madogo madogo... Mfano: Kutumia nguvu nyingi kumtukana Lowasa kuwa ni fisadi alafu kumkaribisha mtu huyo huyo kugomea urais kwa tiketi ya chama chao... unaweza ukajazia unayoyakumbuka na wewe pia...
kwani aliyetuumiwa na chadema kwamba ni fisadi ni yeye peke yake?ebu weka list ya watu waliotuumiwa na chadema alafu utuambie ni yupi kati ya hao amechukuliwa hatua na serikali ya ccm
 
Yule mtangazaji maji ya kunde wa 360 ,huwa namuona anachambua habari za siasa kishabiki shabiki tu utadhani sio mtangazaji mwenye taaluma
Ushauri wangu .kipindi cha 360 nikipindi kizuri ,watangazaji mkichambua habari za siasa kitaaluma kitakuwa na manufaa zaidi achaneni na ushabiki ,kuna wasemaji wa kila cha cha siasa wachieni wa fanye kazi zao SIO NYIE KUJIFANYA WASEMAJI WA VYAMA VYA SIASA .
 
Uenda hua usikilizi radio,Au umeamua tu kucomment unataka uambiwe amekosolewa mara ngapi?

Na amejifanya asikii,Serikali ya Vibanda.

Hamna serikali brother hapo kuna sirikali.
Sasa kama hamna serikali mnataka mkosoe serikali ambayo haipo?
 
Chadema ni chama hatari sana kwa mustakabari wa nchi yetu
 
Hiko kipindi kilimtoa mtangazaji mmoja akawa mkurugenzi wa wilaya fulani kinyume na sheria.

Hiyo ni baada ya kuponda sana upinzani na kupambana na Mange Kimambi
Hapa umedanganya aisee. Kinyume na sheria ipi? Kuwa serious kidogo.
 
Back
Top Bottom