SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,096
- 75,541
Hata sisi hatutaki kukusikia kabisa.Hamna wako sahihi kabisa mimi nilikiwa mpenzi wa cdm sana sana lakini kutokana na upuuzi huu sitaki hata kuwasikia.
Cdm wanajiona wajuaji na wao ni zaidi ya wengine kutukana ndiyo nguzo yao kuu hawayaki kukosolewa kabisa wakati wanafanya madudu kabisa.
Sikio la kufa halisikii dawa mwisho wao umefika kuna watu kama ISIS,BAK,n.k wako kutukana wanapokosolewa na cdm yao.