2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,698
- 4,639
Naomba umuulize mwampamba na Shonza kumsingizia Dr ni mpenda chini Kama waliipata laana na akiwaacha salamaLaana ya kumtukana Dr Slaa na kumuita mr mihogo itawaandama milele Chadema.
Slaa alivunjwa mkono na mke wake kuharibikiwa mimba akiwa anaipigania chadema lakini akaishia kutukanwa matusi na bavicha!!
Laana hii haitawaacha salama chadema.