Clouds 360 waishambulia CHADEMA kutopenda kukosolewa

Clouds 360 waishambulia CHADEMA kutopenda kukosolewa

CHADEMA huwa wanafanya makosa makuubwaaa, huwa hawafanyagi makosa madogo madogo... Mfano: Kutumia nguvu nyingi kumtukana Lowasa kuwa ni fisadi alafu kumkaribisha mtu huyo huyo kugomea urais kwa tiketi ya chama chao... unaweza ukajazia unayoyakumbuka na wewe pia...
lowasa anawauma sana nyie, mbona mlimuita na kumuomba arudi na mpaka msukuma alisema kuwa rudi nyumbani hao ni genge la wahuni, kumbukeni mlivyomtukana lowasa baba wa watu kimya, leo hii mnamuomba arudi nyumbani, kweli nyani haoni makalio yake
 
Haya huyu hapa Douglas Sallu yeye huwa ni matusi anategemea atapata kula za wananchi kuiongoza tz,

Endeleza matusi unaijenga cdm!!!!

Vipi una msongo wa mawazo? Mkileta hoja za kijinga msitegemee mrejesho wa kiungwana.
 
Clouds mambwa tu tangu walipovamiwa wamekuwa ******* sana sio hao wa 360 tu Millard nae ameshaingia kwenye mkumbo huo huo wa maboss wake.Ipo siku tu.....
 
Haya maneno "Unajua Mimi ni Nani" ni ya kishamba Sana, yalishapitwa na wakati
Siku nyingine Utumie akili, kabla ya kurukia vitu angalia vilipotokea ili ujue kwanini swali hilo lilikuja
 
Laana ya kumtukana Dr Slaa na kumuita mr mihogo itawaandama milele Chadema.

Slaa alivunjwa mkono na mke wake kuharibikiwa mimba akiwa anaipigania chadema lakini akaishia kutukanwa matusi na bavicha!!

Laana hii haitawaacha salama chadema.
Mwenezi wa muda ule si alikuwa akimtukana Mzee wa watu kwamba akivaa gwanda anakuwa kama amejinny.ea?
 
Subjectivity inanguvu sana, inaweza kukuburuza tu uende kokote hata ambako ukifika huko unajishangaa, Yaani siku hizi hata system ya CCTV isipokupenda haichukui picha yako!
Media nzuri yapaswa kuwa kama system ya CCTV!
 
Jana Hassan Ngoma, alinishangaza sana. Eti anawashangaa wabunge wa Chadema kusema kwamba maisha magumu, kukosa Maji na Huduma bora za kijamii kunasababishwa na ccm hivo msiichague. Yeye anawashangaa!
Pili anaamini kwamba maendeleo ktk jimbo yanaletwa na mbunge. Hapa ndipo unaposhindwa kuuelewa weredi wa mambo wa mchambuzi huyu. Anashindwa kuelewa kua Government policies ndicho kinacholeta umaskini au maendeleo ktk nchi. Sasa utakuwaje na roll model constituent km haukusanyi ushuru? Ili uwe mchambuzi nzuri inabidi usome sana sources mbali mbali ili ujenge reasoning iliyo bora.
 
Umewahi kumkosoa akakataa au huko kuropoka mnakoropoka ndiyo kukosoa?

Wako wapi hao wabunge wenu waliokuwa wanabwabwaja kipindi cha kikwete?

Hii ndigo serikali sasa siyo ushemeji,mtanyooka!!
Serikali yakupiga risasi wakosoaji wake.

Serikali inayopangia magazet habari zakuandika.

Serikali inayo sigina katiba iliyoapa kuilinda.

Serikali inayopambana na upinzani badala yakupambana na umasikini.

Serikali inayoingilia mihimili ya bunge na mahakama.


Serikali inayouwa raiya wake nakuwatupa baharini wakiwa kwenye viroba.


Serikali inayoteka raia wake nakuwapoteza.


Hiyo ndio serikali unayoisifa.
 
Watangazaji wa kipindi cha Clouds 360 wanailalamikia tabia ya mashabiki na wanachama wa CHADEMA kwa kutopenda kukosolewa.

Wanasema wanapoikosoa CCM au CUF uwa awapati matusi ila siku wakiikosoa chadema basi wanaoga matusi mazito mitandaoni mpaka kupigiwa simu na meseji za matusi.

Wamelalamika hayo kwenye kipindi chao leo asubuhi.

Kwa hili tubadilike makamanda kama tunapenda kukosoa tuwe tayari kukosolewa.
Makamanda wa SACCOS wao ni malaika,kukosolewa kwao mwiko,kama huo upuuzi wao sio UDIKTETA UCHWARA sijui tuite nini au USHAMBA?
 
Kupenda bila sababu ni hatari kuliko kuchukia bila sababu! Kupenda bila faida ni hatari zaidi kuliko kuchukia bila faida! na Kupenda jambo ambalo limepelekea kutia doa moyoni mwako ni hatari kubwa sana kuliko kuchukia jambo ambalo halijatia doa hata mara moja moyoni mwako!
 
Hawa clouds ni wasaka tonge tu! Walivamiwa kwa mitutu ya bunduki ili warushe taarifa za uongo, leo wapo na wavamizi wao huku Nape akiwa kapoteza uwaziri kwa kujaribu kuwatetea hawa vilaza.

Clouds ni ccm media, hata kwenye chaguzi huwa hivyo.

Kwenye uchaguzi wa kata 43 na matukio ya watu kukatwa mapanga hawa clouds waliripoti chochote?!

Hata hii kauli kwa wakati huu ni sehemu ya kampeni ili kuiponda CHADEMA, lakini uzuri ni kwamba CHADEMA inakubalika na wananchi wasionunulika wale wa kawaida kabisa..

Nani asiyejua kuwa bila kujikomba kwa ccm, Fiesta ingebaki historia tu?!
 
Back
Top Bottom