Kama mboe anavyoigania tumbo lake[/QUOTE
Until it is proved by himself,just like dr did. Resgning into politics ingemuachia heshima kubwa sana. Angeenda kulima tu ama kufanya biashara ama kuuza supermarket,lkn sio hicho anachokifanya kuanza kusifia upande ulimpa kichapo na kuwa anaupinga kila kukicha. Ukishindwa pigana kubali kuwa mateka na kuungana na mbabe wako. Ndicho alicho fanya dr.
Kwani sasa hivi hupati deiz zako ?CHADEMA kitatuingiza damuni
Watangazaji wa kipindi cha Clouds 360 wanailalamikia tabia ya mashabiki na wanachama wa CHADEMA kwa kutopenda kukosolewa.
Wanasema wanapoikosoa CCM au CUF uwa awapati matusi ila siku wakiikosoa CHADEMA basi wanaoga matusi mazito mitandaoni mpaka kupigiwa simu na meseji za matusi.
Wamelalamika hayo kwenye kipindi chao leo asubuhi.
Kwa hili tubadilike makamanda kama tunapenda kukosoa tuwe tayari kukosolewa.
Cdm hamtaki kukosolewa ni wajuaji kama hivi na cliud wanalalamikia matusi mkikosolewa mnatukana kwani ni uongo hilo nalo mnabisha wakati kuna thred zimejaa humu mnatukana na thred za cuf na ccm ziko humu wakikosolewa hawatukani?
Mmekwisha kwa matusi yenu bafmdo kuzika chama
Na wao wapunguze Unafiki
Zilipendwa hizi santuri za Akina slaa Siku hizi haziuziLaana ya kumtukana Dr Slaa na kumuita mr mihogo itawaandama milele Chadema.
Slaa alivunjwa mkono na mke wake kuharibikiwa mimba akiwa anaipigania chadema lakini akaishia kutukanwa matusi na bavicha!!
Laana hii haitawaacha salama chadema.