issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,795
- 5,255
vipi laana ya ccm kumtukana na kumuita dr slaa padre mzinzi yenyewe itawaachajeLaana ya kumtukana Dr Slaa na kumuita mr mihogo itawaandama milele Chadema.
Slaa alivunjwa mkono na mke wake kuharibikiwa mimba akiwa anaipigania chadema lakini akaishia kutukanwa matusi na bavicha!!
Laana hii haitawaacha salama chadema.