Allybalowab
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 481
- 215
Kwanini malalamiko yao yaje kipindi kunauchaguzi mdogo? Au ndio kuaminisha watu cdm haikosolewi haifai kuchaguliwa? Siku gaidi akija kwenye studio zenu msilalamike mkiendelea kuyumba tutawadhau 360 crzWatangazaji wa kipindi cha Clouds 360 wanailalamikia tabia ya mashabiki na wanachama wa CHADEMA kwa kutopenda kukosolewa.
Wanasema wanapoikosoa CCM au CUF uwa awapati matusi ila siku wakiikosoa chadema basi wanaoga matusi mazito mitandaoni mpaka kupigiwa simu na meseji za matusi.
Wamelalamika hayo kwenye kipindi chao leo asubuhi.
Kwa hili tubadilike makamanda kama tunapenda kukosoa tuwe tayari kukosolewa.