sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,930
Watangazaji wa kipindi cha Clouds 360 wanailalamikia tabia ya mashabiki na wanachama wa CHADEMA kwa kutopenda kukosolewa.
Wanasema wanapoikosoa CCM au CUF uwa awapati matusi ila siku wakiikosoa CHADEMA basi wanaoga matusi mazito mitandaoni mpaka kupigiwa simu na meseji za matusi.
Wamelalamika hayo kwenye kipindi chao leo asubuhi.
Kwa hili tubadilike makamanda kama tunapenda kukosoa tuwe tayari kukosolewa.