cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Haya unayofanya ndiyo haya cloud wanawasema hamtaki kukosolewa.Clouds si njaa tupu. Wathubutu kama hawakufunguwa leo. Waache ushenzi na unafiki, wagange njaa
Kushauri na kukosoa ni vitu viwili tofauti bwana kuweni na uelewa
Cloud waikosoe ccm kwa lipi?
Cloud wanaishauri ccm kwa mema wanayoyafanya na wanaikosoa cdm kwa upuuzi wanaoufanya