MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Inasikitisha sana!...na hasa ukisoma comment za hawa wachangiaji wanaomjua huyu jamaa in deep. Anyway yote ni maisha.
Nimeisoma hii habari katika gazeti ikanisikitisha sana....Naungana na mama yake kuendelea kusitika. ...
Wapo wengi hao, hamjamuona diamond jana?
..jamaa ni ndugu na Jack Pemba, anashnda pale Segerea mwisho ni educated na kuna kpnd anafundisha watoto tuition ya kingereza ila tatizo akir hazko sawa sababu ya poda na ndo kisa cha kufukuzwa urusi. alivokuja Tz mkewe (mzungu) alimfata na baada ya mda mkewe alifarik na nduguze walikataa kufata mcba coz walishamuonya kuhusu kuja Afrca ila marehem hakuckia ivo jamaa akaamua kumzka mkewe nyumban kwake uan palepale segerea. cku akimkumbuka mkewe uwa anashnda juu ya kabur cku nzima...
he!!! diamond tena? kafanyaje huyu mtu? au ile sketi yake?Wapo wengi hao, hamjamuona diamond jana?
..jamaa ni ndugu na Jack Pemba, anashnda pale Segerea mwisho ni educated na kuna kpnd anafundisha watoto tuition ya kingereza ila tatizo akir hazko sawa sababu ya poda na ndo kisa cha kufukuzwa urusi. alivokuja Tz mkewe (mzungu) alimfata na baada ya mda mkewe alifarik na nduguze walikataa kufata mcba coz walishamuonya kuhusu kuja Afrca ila marehem hakuckia ivo jamaa akaamua kumzka mkewe nyumban kwake uan palepale segerea. cku akimkumbuka mkewe uwa anashnda juu ya kabur cku nzima...
Mmmh....mwanae wa kike karudi Tz??
Maana aliondoka mara tu baada ya msiba wa mamaake kama miaka sasa.
Aliepo hapa ni wa kiume half-cast anaitwa Jack.
hebu weka hiyo list hapa.....
Sidhani kama ni lazima.
Tu mnisaidie kunaaani urusi?
Sio kesi mkuu!Kama siyo lazima kutaja basi sijui nikusaidieje.
Unauliza kunani Urusi kwa muktadha upi kama umeshindwa kuweka Evidence ya kile unachokiulizia...?
Sio kesi mkuu!
Pita hiviiiiiiiiii
Halafu kunja kushoto,endelea na safari!