snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,164
afu jamaa kachua diploma urus ya ubunifu wa majengo
Ndo alikojulia na Ushoga huko !
afu jamaa kachua diploma urus ya ubunifu wa majengo
teamMACHOKO kuna some encouragement hapa
Hahahaha...kwa hiyo unataka kusemaje kuhusu mleta thread
anajifanya uchoko ni usani kumbe anawapa moyo
inakuuma kuona mambo yenu yako hadharani.. na bado watawafukunyua hadi muhame nchi hhi nan anataka ushe.nzy..?
huche Pemba namfahamu kitambo.
Ni kaka wa Jack Pemba, Martin, Mvano na ndugu zao wengine.
Chuche sio shoga ila kidogo hayuko timamu.
Alikua ma mke ambao alitoka nae Urusi alikoenda kusoma.
Mkewe alifariki kwa Cancer, sikumbuki mwaka....kama 2004 hivi.
Alizaa nae watoto wawili.
Mkubwa wa kike alichukuliwa akarudi Urusi alikozaliwa. Mdogo yupo hapa.
Mdogo anaitwa Jackie.
Ila huyu mdogo kakulia stand kwenye kijiwe cha babaake.
Sijamuona muda kidogo.
Chuche hana ushoga kabisa
mimi namfahamu fika huyu Chuche-tatizo ni haya magazeti ya bongo-huyu mtu amedata siku nyingi- tatizo hilo gazette halikuandika kuwa huyu ni mgonjwa matokeo yake watu wana jump to wrong conclusions
huche Pemba namfahamu kitambo.
Ni kaka wa Jack Pemba, Martin, Mvano na ndugu zao wengine.
Chuche sio shoga ila kidogo hayuko timamu.
Alikua ma mke ambao alitoka nae Urusi alikoenda kusoma.
Mkewe alifariki kwa Cancer, sikumbuki mwaka....kama 2004 hivi.
Alizaa nae watoto wawili.
Mkubwa wa kike alichukuliwa akarudi Urusi alikozaliwa. Mdogo yupo hapa.
Mdogo anaitwa Jackie.
Ila huyu mdogo kakulia stand kwenye kijiwe cha babaake.
Sijamuona muda kidogo.
Chuche hana ushoga kabisa
Na muda unavoenda, wanaume tutakuwa tunawasaka kwa darubini....Pata pepsi bardiiiiiiii! Cc Maasai dada, Evelyn Salt mi siniliwaambia hamkuamini?
Huyo mvano huyo mtata sana alikua anasumbua sana mitaa ya upanga kwa usela. Wana ndugu yao eliud pemba pia sijui yuko wapi siku hizi...kwao hawana kashfa hiyo ya ushoga labda kadata na mambo mengine tuu huyo ndugu yao