Chuche Pemba: Mwanaume anayependa mavazi ya kike

Aya weeee, Chuche baunsa wangu mzee wa Ukraine?

Familia inapata bad publicity, kuanzia Jack na scandals zake now this?

Nilikuwa nasema nikirudi bongo ma alwatan wa zamani wa Upanga kama kina Chuche watakuwa wamepasuka vipi sasa?

Mke wake Mrussi alisharudi kwao?

yawezekana. nakujua.anyway tubaki na haya majina yetu.usemayo ni kweli kabisa.chuche sijui kakumbwa na nini?,Jana tumetumiana SMS familia yetu tusome gazeti la mwananchi hakuna aliyeamini! baunsa wetu wa upanga yamemkuta yepi? Mimi nilisoma na mdogo wake flora.kweli dunia ina mengi hii!
 
Chuche Upanga long time. Tangu breakdancing with Tas na Ommy na Musa, enzi za "Electric Boogaloo".

Katika ma body builders wa siku nyingi walioheshimika Upanga na Dar Chuch,e yumo, alikipiga chuma kikamkubali.

Alipata matatizo gani tena?
Chuche was fine,untill alivyokwenda ksoma nje- akiwa nje naona alijihusisha na madawa ya ulevi- sidhani hata kama shule alimaliza- he came back a mental wreck-and when the wife died of cancer-he completely flipped
 
Inawezekana pia kuna mzazi alimkosha sanaa au ana kapepo ka kike. Tumeona mpaka watoto wa kiume wanakojoa wamekaa kwa sababu nyumba nzima imejaa wanawake watupu na kukojoa kwao ndo huko. Single parents kuweni makini. Wapelekeni watoto wa ndugu wengine wachangamane.
 
Usilazimishe kesi ya Chuche ifanane na uzijuazo
 
yawezekana. nakujua.anyway tubaki na haya majina yetu.usemayo ni kweli kabisa.chuche sijui kakumbwa na nini?,Jana tumetumiana SMS familia yetu tusome gazeti la mwananchi hakuna aliyeamini! baunsa wetu wa upanga yamemkuta yepi? Mimi nilisoma na mdogo wake flora.kweli dunia ina mengi hii!

Inawezekana nawe nakufahamu
Mimi nilikaa mtaa wa Kibasila karibu na Mfaume
 
Chuche was fine,untill alivyokwenda ksoma nje- akiwa nje naona alijihusisha na madawa ya ulevi- sidhani hata kama shule alimaliza- he came back a mental wreck-and when the wife died of cancer-he completely flipped
Alifungwa Russia alirudi bila vyeti,sijui kilimpata nini?Eliud Pemba mara ya mwisho alikua anafanya kazi ITV
 
Chuche ukipata nafasi yakuongea nae utashangaaa, anaakili sana, Ingawa wengi hudhani jamaa ni hamnazo nanmvuta dawa za kulevya
 
Ukweli ni kwamba Chuche sio Shoga bali amechanganyikiwa kwa madawa ya kulevya pamoja na stress za kufariki kwa mkewe. Ni kweli kabisa kua jamaa alikua ni baunsa na kijana mtanashati sana ila inaonekana kua mkewe ndia alikua kila kitu kwake hivyo alipofariki jamaa akawa amedata kiasi cha kutaka kumuuza mtoto wake wa kiume hali iliyosababisha mtoto wake wa kike arudishwe Rusia na huyo wa kiume kuwa chini ya kaka yake Eliudi Pemba. Maskani yake kwasasa ni stend mwisho- segerea ambapo huwa anapiga debe.
 
Dah,

Watoto wa Upanga wengine wameishia pabaya.

Mtu kama Chuche hawa ndio walitakiwa kuwa ma Arnold Schwarzenegger wetu bongo, mtu akili anazo, mjini ana connections, anaishia kupiga debe.

Kuna mwingine Amos wa Silver Oak alifariki yeye na kaka yake, naye aliishia kwenye madawa ya kulevya na kupiga debe.
 
Inawezekana nawe nakufahamu
Mimi nilikaa mtaa wa Kibasila karibu na Mfaume

Mimi nimekaa mtaa wa sea view.huko mtaa wa mfaume ndo alikuwa anakaa mdada ambae sasa bosi sana nssf tusimtaje jina.nimesoma muhimbili primary so kutoka muhimbili hadi seaview mitaa yote hiyo mabest kibao wa shuleni.
 
Back
Top Bottom