QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
Yupo pande za Segerea { siyo gerezan ndani}, vivazi vyake.mambo yake na maisha yake full uanamke.. jamaa na baadhi ya ndugu zake wanasema ingawa anavaa kama mwanamke kuanzia mavazi,urembo nk lakini eti ajihusishi na mapenzi ya jinsia moja{ushoga}.
ANGALIZO;
Majirani watazameni na kuwatunza watoto wenu wa kiume kwa umakini
wasije ku adopt mambo haya.
Chanzo: MWANANCHI