AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Nakumbuka enzi za break dance huyu mkuu alikuwa breaker mahiri.
Alafu mbona six pacs wengi ndo wanakuwaga chakla
aisee sijuj kwa nini aisee
yaani unakuta mwanaume kajengeka vyema lakini ni chakul
Huyu atakua wa mwisho kuzaliwa alafu wote ktk familia ni wanawake kasoro yeye so ana copy kutoka kwa dada zake. Mazingira yalishafanya awe hvyo