Chuche Pemba: Mwanaume anayependa mavazi ya kike

Huyu jamaa namwona sana segerea ila sikujua kama ni chuche niiyekua namjua miaka ya 80 upanga
Kweli hujafa hujaumbika
 
Dah,

Watoto wa Upanga wengine wameishia pabaya.

Mtu kama Chuche hawa ndio walitakiwa kuwa ma Arnold Schwarzenegger wetu bongo, mtu akili anazo, mjini ana connections, anaishia kupiga debe.

Kuna mwingine Amos wa Silver Oak alifariki yeye na kaka yake, naye aliishia kwenye madawa ya kulevya na kupiga debe.
kifo cha amos kilisikitisha sana-ni kikasababisha kaka mtu nae apate heart attack-misiba miwili at a go
 
huyo namfahamu fika,mara nyingi anakuwaga rosehill pub...hakuwa hivyo mwanzoni hata sijui nini kilimpata akabadilika,ana kitoto cha kike kizuri balaa wanadai alizaa na mzungu.
 
Noma,

Nilivyokuja kuambiwa nilisikitika sana.

Nikamkumbuka Amos yule wa zamani aliyekuwa soap soap kabla ya kuanza mdude na kupiga debe Muhimbili.
 
life is a serious adventure
 
Lol....Mvano alijikuta analihama jiji la Dar bila kupenda.
Alikimbilia Mbeya au Malawi.
Kujitia ununda.

Dah noma kweli halafu wana asili ya malawi wale.na eliud alikuwaga benchi mark sijui sasa yupo wapi. Na yule jack pemba alitudanganya anataka kuoa tukamchangia akazikusanya akatokomea south na baadae uingereza.
 
Noma,

Nilivyokuja kuambiwa nilisikitika sana.

Nikamkumbuka Amos yule wa zamani aliyekuwa soap soap kabla ya kuanza mdude na kupiga debe Muhimbili.
generation ya akina amos upanga wengi walitokomea katika mdude na ukawaondoa,walio survive wanatia huruma hata ukikutana nao unalengwa na machozi-aliyesema hujafa hujaumbika was spot on
 
Kuna dogo fulani mtoto wa the then Brigadier Mwamdanga, kwao huku chini karibu na kwa Salmin, nyumba yao walikodisha PCCB I believe, karibu na kwa kina Chiume zamani pale Mindu na Kalenga kama unakuja IST, alikuwa anachanganya mdude, charass na valium basi tabu tupu.

Alikuwa anaitwa James Mwamdanga. Yule dogo sijui kama yupo bado.
 
Lol....Mvano alijikuta analihama jiji la Dar bila kupenda.
Alikimbilia Mbeya au Malawi.
Kujitia ununda.

Mvano alikuwa bad news kipindi, kuna kipindi alikuwa anataka kutupandishia kaka zake, mtu unaona tu dogo asipoangalia anapotea.
 
So sad mwanaume kupaka wanja..kutinda nyusi na shedo? ni zaidi ya msiba huu
Mungu anusuru vizaz vyetu
 
..jamaa ni ndugu na Jack Pemba, anashnda pale Segerea mwisho ni educated na kuna kpnd anafundisha watoto tuition ya kingereza ila tatizo akir hazko sawa sababu ya poda na ndo kisa cha kufukuzwa urusi. alivokuja Tz mkewe (mzungu) alimfata na baada ya mda mkewe alifarik na nduguze walikataa kufata mcba coz walishamuonya kuhusu kuja Afrca ila marehem hakuckia ivo jamaa akaamua kumzka mkewe nyumban kwake uan palepale segerea. cku akimkumbuka mkewe uwa anashnda juu ya kabur cku nzima...
 
so sad
 
huyo namfahamu fika,mara nyingi anakuwaga rosehill pub...hakuwa hivyo mwanzoni hata sijui nini kilimpata akabadilika,ana kitoto cha kike kizuri balaa wanadai alizaa na mzungu.

Mmmh....mwanae wa kike karudi Tz??
Maana aliondoka mara tu baada ya msiba wa mamaake kama miaka sasa.
Aliepo hapa ni wa kiume half-cast anaitwa Jack.
 
Back
Top Bottom