Kabisa anajimbanua vizuri.Jamaa anajitahidi, anaongea ana utulivu, hana vijembe na anaongea mapoint sana
CCM ya Bashiru na CCM ya Chongoro wasipoangalia zinaweza kuwa CCM mbili, Mungu jalia iwe hivyo tuondokane na hii kitu inaitwa CCM
Amesisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi kitafanya siasa safi zenye mashiko na upeo na kubeba mustakabali mwema wa taifa katika kuwaunganisha watanzania bila kujali itikadi za vyama vyao.Endelea kutupa updates ya kinachojiri!
Kidumu Chama Cha Mapinduzi, tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kufanya kazi na kusimamia ukweli daima.Nimefuatilia mkutano wa Katibu Mkuu Chongolo, niseme kwamba hii ndiyo maana ya UTUKUFU WA CHAMA CCM. Ameongea mambo yanayohusu maisha ya watu na uchumi wa nchi. 1. Ameonya wanaojaribu kuchezea suala nyeti la umeme. Ni jana na juzi nchi ilitikiswa. Hapa Chama lazima kikemee kwa nguvu kama hivi. Hongera Katibu Mkuu.
2. Amezungumzia miradi mikubwa ya kimkakati. Hii ndiyo maana ya Chama kusimamia Serikali. Miradi hii kama bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere itaongeza kasi na kuboresha mazingira ya uchumi wa viwanda, uwekezaji na kupunguza gharama za ununuzi wa umeme kwa wananchi. Tumesikia wawekezaji wanakimbia Kenya kwenda Ethiopia, kisa gharama za umeme.
3. Ameongelea kilimo. Kilimo chetu kinahitaji miundombinu ya maana ikiwemo ya umwagiliaji, ili kisitegemee vuli au masika ambayo haitabariki kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Tusipokuza kilimo cha kisasa vita ya umasikini haitakwisha. Mamilioni ya Watanzania wako kwenye kilimo. Ila ni kama kilimo cha mkono kwenda kinywani.
Haya ndiyo mambo ya kujadili. Mvuto ni hoja nzuri kama zilizotolewa na Katibu Mkuu Chongolo. Hakuna matusi wala kweli. Tumpongeze kwa mwanzo mzuri kabisa.
Wewe ni shabiki tu, kama walivyo wengine mnaofungwa akili kwa ushabiki wenu.Nimefuatilia mkutano wa Katibu Mkuu Chongolo, niseme kwamba hii ndiyo maana ya UTUKUFU WA CHAMA CCM. Ameongea mambo yanayohusu maisha ya watu na uchumi wa nchi. 1. Ameonya wanaojaribu kuchezea suala nyeti la umeme. Ni jana na juzi nchi ilitikiswa. Hapa Chama lazima kikemee kwa nguvu kama hivi. Hongera Katibu Mkuu.
2. Amezungumzia miradi mikubwa ya kimkakati. Hii ndiyo maana ya Chama kusimamia Serikali. Miradi hii kama bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere itaongeza kasi na kuboresha mazingira ya uchumi wa viwanda, uwekezaji na kupunguza gharama za ununuzi wa umeme kwa wananchi. Tumesikia wawekezaji wanakimbia Kenya kwenda Ethiopia, kisa gharama za umeme.
3. Ameongelea kilimo. Kilimo chetu kinahitaji miundombinu ya maana ikiwemo ya umwagiliaji, ili kisitegemee vuli au masika ambayo haitabariki kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Tusipokuza kilimo cha kisasa vita ya umasikini haitakwisha. Mamilioni ya Watanzania wako kwenye kilimo. Ila ni kama kilimo cha mkono kwenda kinywani.
Haya ndiyo mambo ya kujadili. Mvuto ni hoja nzuri kama zilizotolewa na Katibu Mkuu Chongolo. Hakuna matusi wala kweli. Tumpongeze kwa mwanzo mzuri kabisa.
Mkuu, vipi kwani, CCM ikifa utapoteza nini Wewe?Umelewa gongo wewe mataga?
Wezi hupigana hadharani?Hao ni WEZI walipita bila kupingwa
kwanza wanapigana ngumi za kike kike. wachapane wapanga kama kweli wao ni wanaume.Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema kumeibuka tabia ya baadhi ya madiwani na watendaji wa CCM kupigana ngumi hadharani kwenye mikutano.
Chongolo ametoa onyo kwa wenye tabia hiyo kuacha na kujiheshimu kwani chama hakitawavumilia.
Source: ITV habari
Ndiyo, hasa wakidhurumianaWezi hupigana hadharani?